Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Miradi yote ya kimkakati itakamilika kwa Wakati, Daraja la Busisi kukamilika Aprili 2024

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,146
Waziri mkuu mh Majaliwa amesema wale wanaodhani miradi itakwama wanajidanganya bure kwani miradi yote ya kimkakati itakamilika kwa Wakati

Majaliwa amesema Ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi umefikia.54% na litakamilika April 2024

Miradi mikubwa ya kimkakati ni pamoja na SGR na Bwawa la Umeme la Nyerere

Chanzo: ITV Habari
 
Source ITV Habari

Akikuambia ni usiku toka nje ukaangalie… mwambie anatakiwa kwenye ziara Kigoma.
 
Keep on pressing, do not be dismayed, I am with you just be courageous!
 
Legasi ya kipenzi cha Watanzania
Eiav3EwXkAAVrju.jpeg
 
Waziri mkuu mh Majaliwa amesema wale wanaodhani miradi itakwama wanajidanganya bure kwani miradi yote ya kimkakati itakamilika kwa Wakati

Majaliwa amesema Ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi umefikia.54% na litakamilika April 2024

Miradi mikubwa ya kimkakati ni pamoja na SGR na Bwawa la Umeme la Nyerere

Chanzo: ITV Habari
Kwa sasa anawindwa kwa udi na uvumba na mafisadi wakijifanya ndio yeye kisha wanatengeza skendo za rushwa na baadhi ya wafanyabiashara................hao wote wanatumwa na baadhi ya wanaCCM ambao hawamtaki maana anawabana kuiba
 
  • Thanks
Reactions: Ame
bilashaka.
ila Waziri Mkuu tu peke yake hawezi bali watendaji wote wa Seeikali kama vile; RC, DC, DED,RASI, DASI n.k wanapaswa wawajibike kikamilifu kwenye maeneo Yao ndipo tutafanikiwa, kinyume na hapo itakiwa kazi ngumu.sana.
 
Hii itawezekana kama kuna mifumo, kwa jinsi ilivyo watu hawafanyi kazi kwakuongozwa na sheria, kanuni na taratibu bali na preferences za wanayemtumainia na kumtegemea katika ama kuwaweka au kuwaondoa...We have to speak louder that we need a new constitution kuua haya mambo ya makundi na u mungu mtu...Its for the benefit ya kila mmoja, ilipofika sasa hakuna mwenye kufikiria nchi tena zaidi ya mambo binafsi na makundi
 
Huyu ana sifa moja kuu: UWONGO.

Mwongo kiasi cha kupindumia. Anasema uwongo mpaka kwenye mambo ambayo huwezi kuelewa inamsaidia nini. Alidanganya mpaka hali ya afya ya marehemu Magufuli.

Ukweli ni kwamba miradi aliyoitaja, hakuna hata mmoja utakaomalizika kwa muda uliopangwa/uliotarajiwa.
 
Back
Top Bottom