Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
[emoji625]Ikulu, Migombani Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi ambaye ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) akutana na Mkurugenzi Mkuu Mtendaji Kampuni ya Gesi ORYX Tanzania Benoit Araman na ujumbe wake kwa kuangalia ushirikiano kati ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora (ZMBF) na kampuni ya gesi ORYX ofisini kwake Ikulu Migombani leo tarehe 18 Oktoba, 2022.