Wananchi wa kata ya Loya, Uyui waishukuru Serikali kwa Fedha za vyumba tisa vya madarasa

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
8,535
17,473
Mchakato wa kujenga vyumba tisa vya madarasa BADO unaendelea !Hii ni BAADA ya vile sita kukamilika na kufikisha vyumba 15 vya madarasa, lakini shule hiyo BADO haina vyumba viwili vya maabara vya kemia na biolojia, pia haina jengo la ofisi la utawala, ukumbi wa mikutano na mabweni ya kutosha ya wavulana na wasichana hivyo wameiomba serikali iangazie hilo.

Pia umeme BADO haujafika hapo shuleni, wanafunzi wanatumia umeme wa solar ambao haukidhi mahitaji!

Wanaiomba Serikali wamalizie mahitaji hayo!
 
Back
Top Bottom