Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri mkuu mh Majaliwa amesema wale wanaodhani miradi itakwama wanajidanganya bure kwani miradi yote ya kimkakati itakamilika kwa Wakati Majaliwa amesema Ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika. Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua...
3 Reactions
93 Replies
6K Views
SHAKA HAMDU SHAKA AMUUMA SIKIO RAIS SAMIA,AMWAMBIA "MAMA KANYAGA TWENDE,CHAMA KINARIDHISHWA, WANANCHI WANAKUELEWA" KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu...
13 Reactions
51 Replies
3K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema kutokana na kasi ya kutekeleza miradi ya maendeleo nchini, Rais Samia Suluhu Hassan ni pumzi mpya kwa...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Katika Muendelezo wa kutumiwa na ccm kisiasa , Jeshi la Polisi limetumwa tena leo kuzuia Msafara kabambe wa Katibu Mkuu wa Chadema , aliyeingia kwa kishindo mkoani humo kwa ajili ya vikao vya...
15 Reactions
144 Replies
9K Views
BILIONI 9.45 ZITAPELEKWA KASULU KUPENDEZESHA MJI: WAZIRI KAIRUKI OR -TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah Kairuki amesema Serikali kupitia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu upinzani wa Tanzania Ni mwepesi Sanaa, Ni Rahisi Sana kuupoteza na kuufifisha, ni rahisi sana kuumaliza, kuudhoofisha, kuusambalatisha, kuuvuruga, kuugawa na kuuweka mikononi mwako na...
1 Reactions
126 Replies
5K Views
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mfanyabishara maarufu wa Zanzibar, Toufiq Salum Turky, bado hajalipa Sh. milioni 308.5 za kodi kutokana na kuingiza gari la kifahari aina ya Benzi...
21 Reactions
352 Replies
34K Views
Natafuta sana hii hotuba ya Nyerere aliyotoa India pale alipoalikwa kama mgeni rasmi katika sherehe za India kuwa Jamhuri, tarehe 26 January, 1971. Kuna jambo kubwa sana alilisema ambalo...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Nipo natizama mubashara ziara ya Rais Samia, kuna basi la kubebea watu wa msafara. Hakika umepunguza bajeti na kuimarisha huduma kwa Watanzania na sisi tunasema ulipo tupo
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia. Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Kasulu Mjini, Profesa Joyce Ndalichako ameiomba Serikali kutatua changamoto ya maji, barabara, umeme na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan, Oktoba 16, 2022, amezindua mradi wa kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme mkubwa wa 220kV/33kV cha Nyakanazi Mkoani Kagera ambao umekamilika. Aidha, Rais...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais Samia amekemea tabia ya viongozi kuwa kimya juu ya ubadhirifu na ubovu wa miradi isiyoendana na thamani ya fedha iliyoko katika maeneo yao na kusubiri mbio za mwenge zije kubaini kasoro za...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Picha ya Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mbunge wa Iramba Mashariki imezua "hisia" tofauti na mijadala mitandaoni.Picha hiyo inamuonyesha Mh.Mwigulu akiwa na mwanae wa kiume,na "Caption" ya picha...
21 Reactions
348 Replies
63K Views
Wapendwa, nimeona mjadala juu ya kiti cha Rais na nikaonelea nitoe maelezo kidogo. Kanisa katika protocol zake inatambua na kuwaheshimu viongozi katika hadhi zao mbali mbali. Hii protocol siyo...
23 Reactions
96 Replies
9K Views
Mmesahau zile sauti zilipodukuliwa? Mmesahau alivyojifanya kujipendekeza kwa hayati JPM na kuomba msamaha. Leo anajinasibu ni mwanasiasa msafi na anahuruma ya upinzani ili iweze kufanya mikutano...
1 Reactions
4 Replies
759 Views
Niliweka thread humu JF kwamba suala la Urusi na Ukraine ni dogo sana kwa mtu asie na ukahaba wa kisiasa wa kufuata bwana atakaekupa maslahi bila kujali utu wa mtu huyo. Nilisema wazi, leo hii...
8 Reactions
137 Replies
7K Views
Serikali kupitia wizara husika inapasa kufanya mabadiliko kidogo katika sheria ya uhalifu wa kimtandao ya mwaka 2015 yaani Cyber Crimes Act , 2015 kwani tangu ilipoanzishwa na kupitishwa na Bunge...
2 Reactions
6 Replies
726 Views
Back
Top Bottom