BUKOMBE: Rais Samia avunja rekodi kwa kupokelewa na Utitiri wa watu, yeye awafagilia viongozi wa Chama na Serikali

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Nov 20, 2021
1,448
1,003

IMG-20221017-WA0149.jpg

RAIS SAMIA NI CHUMA CHA PUA DHIDI YA WABADHIRIFU

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha uimara mkubwa katika kuwabana wabadhirifu na wala rushwa na kwamba Chama Cha Mapinduzi kinamuunga mkono katika hilo.
IMG-20221017-WA0186.jpg

Shaka amesema hayo leo Runzewe, Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, baada ya kupewa nafasi ya kuwasalimia wananchi akiwa katika msafara wa Rais Samia ambaye amemaliza ziara ya siku mbili mkoani humo na kuingia Mkoa wa Kigoma.
IMG-20221016-WA0072.jpg

”Mikono ya Rais Samia ni mepesi kama pamba katika kumwaga fedha za maendeleo kwa watanzania. Mikono ya Rais Samia ni migumu kama chuma cha pua kwa wabadhirifu na wanaotumia vibaya fedha za maendeleo za Watanzania. Tuendelee kumuunga mkono Rais Samia," amesema Shaka #CCMImara #KaziIendelee
 
Tunamshukuru na kumpongeza mwishiwa kwa royo tuwa ametuinua Sana
 
Huu ndio utitiri wa watu wakati h
View attachment 2390019
View attachment 2390021
RAIS SAMIA NI CHUMA CHA PUA DHIDI YA WABADHIRIFU

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha uimara mkubwa katika kuwabana wabadhirifu na wala rushwa na kwamba Chama Cha Mapinduzi kinamuunga mkono katika hilo.

Shaka amesema hayo leo Runzewe, Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, baada ya kupewa nafasi ya kuwasalimia wananchi akiwa katika msafara wa Rais Samia ambaye amemaliza ziara ya siku mbili mkoani humo na kuingia Mkoa wa Kigoma.

”Mikono ya Rais Samia ni mepesi kama pamba katika kumwaga fedha za maendeleo kwa watanzania. Mikono ya Rais Samia ni migumu kama chuma cha pua kwa wabadhirifu na wanaotumia vibaya fedha za maendeleo za Watanzania. Tuendelee kumuunga mkono Rais Samia," amesema Shaka #CCMImara #KaziIendelee
Huu ndio utitiri wa watu ambao hawazidi hata 250? Kuna shida mahali. Siku wapinzania mkiwafulia tu kufanya mikutano kama mnayofanya msahau kama kuna mtu atakuja kwenye mikutano ya nguo za kijani na njano
 
Nani kazuia mikutano ya wapinzani?
 
Tangu uhuru sijawahi kuona Rais anayekusanya watu wengi Kama huyu Mama,
Vipi kuhusu huyu raisi wa mioyo ya watu aliejaza watu mpaka wengine wanakufa kwa mkanyagano hapo pichani baada ya kutoka uhamishoni ubelgiji?
 
Attachments

  • images (7).jpeg
    images (7).jpeg
    70.1 KB · Views: 3
View attachment 2390019
View attachment 2390021
RAIS SAMIA NI CHUMA CHA PUA DHIDI YA WABADHIRIFU

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha uimara mkubwa katika kuwabana wabadhirifu na wala rushwa na kwamba Chama Cha Mapinduzi kinamuunga mkono katika hilo.
View attachment 2390045
Shaka amesema hayo leo Runzewe, Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, baada ya kupewa nafasi ya kuwasalimia wananchi akiwa katika msafara wa Rais Samia ambaye amemaliza ziara ya siku mbili mkoani humo na kuingia Mkoa wa Kigoma.

”Mikono ya Rais Samia ni mepesi kama pamba katika kumwaga fedha za maendeleo kwa watanzania. Mikono ya Rais Samia ni migumu kama chuma cha pua kwa wabadhirifu na wanaotumia vibaya fedha za maendeleo za Watanzania. Tuendelee kumuunga mkono Rais Samia," amesema Shaka #CCMImara #KaziIendelee
Mimi nimeona watoto ni wengi sana , hongera chama chetu...hii ni hazina ya baadae
 
Back
Top Bottom