Zitto Kabwe ameusemea mkoa wa Kigoma kama nani? Au kasukumwa na uchawa pamoja na uCCM B?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
16,553
36,831
Mnisaidie ndugu wanaJF kulidadavua suala hili. Zitto Kabwe ni mwenyeji wa Ujiji Kigoma. Na amewahi kuwa mbunge wa huko.

2015 alihamia Jimbo la Kigoma Mjini, na kuwa mbunge wa Jimbo hilo mpk 2020 ambapo uchafuzi ulimfanya ashindwe kutetea nafasi yake.

Hivi sasa Zitto Kabwe siyo mbunge, bali ni kiongozi mkuu wa chama cha ACT.

Lkn leo hii mhe. rais Samia akihitimisha ziara yake pale Kigoma Mjini Zitto Kabwe alitoa hotuba ya kuusemea mkoa wa Kigoma.

Sasa swali. Zitto alikuwa anatoa hotuba ya kuusemea mkoa wa Kigoma kama nani? Maana siyo mbunge wala siyo mwanaccm.
 
Bepari2020

JF-Expert Member
Nov 7, 2020
2,073
2,420
Kwani Nyerere alienda kuisemea Tanganyika kule UN wakati wa kupigania uhuru kama nani? Si alijiendea tu kama mwenyekiti wa TANU?
 
voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
4,158
7,846
Mnisaidie ndugu wanaJF kulidadavua suala hili. Zitto Kabwe ni mwenyeji wa Ujiji Kigoma. Na amewahi kuwa mbunge wa huko.

2015 alihamia Jimbo la Kigoma Mjini, na kuwa mbunge wa Jimbo hilo mpk 2020 ambapo uchafuzi ulimfanya ashindwe kutetea nafasi yake.

Hivi sasa Zitto Kabwe siyo mbunge, bali ni kiongozi mkuu wa chama cha ACT.

Lkn leo hii mhe. rais Samia akihitimisha ziara yake pale Kigoma Mjini Zitto Kabwe alitoa hotuba ya kuusemea mkoa wa Kigoma.

Sasa swali. Zitto alikuwa anatoa hotuba ya kuusemea mkoa wa Kigoma kama nani? Maana siyo mbunge wala siyo mwanaccm.
Zitto amesemea mkoa ule akiwakil8sha "machawa" wa Samia.
Project hiyo inaongozwa na "Asali Boyz" chini ya Kigogo14.

Hiyo ndio Tanzania iliyojaa unafiki nz kugeuka kuuona kama kipaji cha kitaifa.
 
Ally Nassor Px

JF-Expert Member
May 6, 2022
2,040
2,608
Mnisaidie ndugu wanaJF kulidadavua suala hili. Zitto Kabwe ni mwenyeji wa Ujiji Kigoma. Na amewahi kuwa mbunge wa huko.

2015 alihamia Jimbo la Kigoma Mjini, na kuwa mbunge wa Jimbo hilo mpk 2020 ambapo uchafuzi ulimfanya ashindwe kutetea nafasi yake.

Hivi sasa Zitto Kabwe siyo mbunge, bali ni kiongozi mkuu wa chama cha ACT.

Lkn leo hii mhe. rais Samia akihitimisha ziara yake pale Kigoma Mjini Zitto Kabwe alitoa hotuba ya kuusemea mkoa wa Kigoma.

Sasa swali. Zitto alikuwa anatoa hotuba ya kuusemea mkoa wa Kigoma kama nani? Maana siyo mbunge wala siyo mwanaccm.
kama ulivyosema ww hapo mkuu anaisemea km mwenyekiti wa chama pia km mwanakigoma na mtanzania...
 
Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
342
1,448
Huwa na washangaa sana vijana wa ufipa . zitto hakuna anachofanya nyinyi mkakikubali . Nadhani mnamuombea mabaya kucha kutwa na mungu angekuwa mwanadamu akawasikiliza huenda zitto asingekuwepo Leo.

Kinyume chake Mungu kampa Zitto moyo thabiti na sijawahi kumsikia akiwakashifu viongozi wenu .mmejaa chuki Hila na uchawi. Mnapenda kuona aibu ya zitto Kila uchao na hamtaiona Kwa siku zenu zote maana hamtakuwepo.

Mlishamfanyia Hila nyingi sana zito tangia akiwa chadema narudia tena hamtayaona kamwe mnayoomba yampate zito ,mtazidi kudidimia Kila siku na hamtainuka. Mwenzenu yule siasa ni kipaji ni karama yake .

Ameshapiga hatua kubwa mara mbili ya nyinyi mliyonayo. Mlishawahi kuwa na wabunge wengi sana bungeni . Lakini hakuna Cha maana mlichofanya hata ofisi tu imewashinda kujenga ..mlikuwa na wafadhili chungu mzima mkapatiwa na magari ya kuendesha shughuli zenu za kisiasa lakini mpaka Leo zile pick up mnajua mlikozipeleka.

Mwenzenu hakuwa na mbunge hata mmoja bungeni wakati ambao nyinyi mlikuwa wengi na ruzuku yenu ilikuwa kubwa .lakini mmeshindwa kujenga hata choo Cha ofisi ,nani mtoto kati yenu na yeye? Nani mpumbavu kati yenu na yeye? Nani anafaa tumuamini?

Vijana wenu wengi sasa wanahangaika tu .wengine wameishia jela huku walio Wachache wakitanua mjini ,mwacheni zitto kabwe zuber afanye darasa la siasa .na msipomuelewa Leo mtamuelewa kesho tulishawachoka !!!!!
 
Chivundu

JF-Expert Member
Dec 17, 2012
6,548
3,475
Hata mikutano ya kisiasa ikiachiwa zito hawezi hata kujaza uwanja wa netiboli. Zitto ni mnafiki na tushamjua
 
NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,388
4,779
Kiukweli hali waliyonayo chadema sasa inatia huruma......wamekwishaaaa!

Wanataka kumtumia zitto kama daraja la kupanda tena juu lakini wanajikuta wanazidi kukwama mara dufu sababu ya chuki, wivu, husda na roho mbaya visivyo na sababu walivyonavyo dhidi ya zitto. Mungu hapendi vitu hivyo na humbariki anayefitiniwa na ndo maana leo chadema wooote (ukimtoa mbowe) ukiwaweka pamoja akili zao hazimfikii zitto. Mwamba anazidi kuwagepua tu kiakili na kimkakati na kimaarufu, shenzi type!!
 
voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
4,158
7,846
Chadema wao wana Hazina ya visasi,wana Hazina ya matusi,wana Hazina ya Ugomvi baina yao wenyewe.....

Siasa inayofanywa na Chadema sio ya kuigwa kamwe.

Kwa sababu ukiwaendekeza Chadema ni rahisi kuigawa nchi hii vipande vipande.

Viongozi wa chadema wote,ukimuondoa Mbowe kidogo.
Wanachokifanya 24×7×12 ni kueneza chuki miongoni mwa Jamii.
Huku wakishangilia kulipiza visasi na vifo kwa mahasimu wao.
Wengine wamebaki kubweka usiku kucha kwenye spaces,kisha mchana wanalala baada ya kutema sumu usiku kucha.

Wale waliojikimbiza,wamenogewa huko,lakini kazi kuwachonganisha walioko huku.

Lile lijamaa Saed #Kubenea lenyewe ndio linaongoza propaganda za visasi,kupitia kipeperushi "Raia Mwema"walichorithi kutoka kwa Yule mzee mwingine aliyejaa sumu kama Cobra ....#Ulimwengu.

#Chadema badilikeni mfanye siasa na sio visasi.
Hakuna mnayemkomoa maana hamtajua kesho ni nani atashika Mpini wa Panga!
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom