Rais Samia mpeleke Makamba Wizara ya Afya akaeneze kampeni yake ya "Mama na Moshi "

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,550
11,879
Sasa hivi Makamba anazunguka nchi nzima akieneza kampeni yake ya "Zuia mama na Moshi"

Kiuhalisia hilo ni jukumu la waziri wa Afya ambaye ni Ummy Mwalimu.

Makamba badala ya kutembea nchini akisikiliza na kuzitafutia ufumbuzi, kero za wananchi dhidi "Tanesco" shirika lililoko chini ya wizara yake.

Yeye amegeuka kuwa Dalali wa gesi ya Rostam Aziz ya mitungi ya kijani hiyo "Taifa Gas"
Huku akiitumia slogan ya

"Madhara ya Moshi kwa Mama Mtumia Kuni"

Na hili analifanya mbele ya Rais Samia.

Hata sasa ambapo wako pamoja kwenye ziara ya kampeni ya.

"Mama simika mguu"

inayoendelea huko Geita na Kigoma.

Vema basi Samia akambadilishia wizara kijana Pendwa ili akapige ndege wawili kwa jiwe moja....yaani serikalini na pia kwa Rostam.

Yangu ni hayo kwa sasa.

Asubuhi njema!
 
Afya Tena!!? Campeini ya mitungi ya Gas hii hii ya kupikia ndio impeleke huko?

Labda arudi Ofisi ya makamu wa Rais Mazingira hapo kidogo hiyo kampein inaweza ikaenda vizuri.
 
Hujui umuhimu wa nishati ya gesi kupikia nchi hii, funga domo lako.
Sasa hivi Makamba anazunguka nchi nzima akieneza kampeni yake ya "Zuia mama na Moshi"

Kiuhalisia hilo ni jukumu la waziri wa Afya ambaye ni Ummy Mwalimu.

Makamba badala ya kutembea nchini akisikiliza na kuzitafutia ufumbuzi, kero za wananchi dhidi "Tanesco" shirika lililoko chini ya wizara yake.

Yeye amegeuka kuwa Dalali wa gesi ya Rostam Aziz ya mitungi ya kijani hiyo "Taifa Gas"
Huku akiitumia slogan ya

"madhara ya Moshi kwa Mama Mtumia Kuni"

Na hili analifanya mbele ya Rais Samia.
Hata sasa ambapo wako pamoja kwenye ziara ya kampeni ya.....

"Mama simika mguu"

inayoendelea huko Geita na Kigoma.

Vema basi Samia akambadilishia wizara kijana Pendwa ili akapige ndege wawili kwa jiwe moja....yaani serikalini na pia kwa Rostam.

Yangu ni hayo kwa sasa....

Kama hamtaki mama na moshi campaign basi mniueee ~ aliskika mwamba Marope
 
Mimi huwa nawashangaa sana hawa Mataga
Nishati ya Gesi ndio future japokuwa sio clean lakini itaokoa maisha ya Binadamu na Misitu.
Ni kweli kabisa lakini kikwazwo kikubwa cha wananchi wengi kushindwa kutumia gas ni gharama kubwa ya gasi yenyewe, issue ya afya inafuata.
Makamba aweke mkakati WA kupunguza bei ya gas na pia aweke mikakatibya miki mikubwa kama dsm kutumia gas asili kwa ajili ya kupikia
 
Basi na Ummi apelekwe TANESCO akaunganishe umeme vituo vya afya.

Hakuna wizara inaweza ikasimama peke yake bila kugusa musuala ya wizara nyingine.
 
Sasa hivi Makamba anazunguka nchi nzima akieneza kampeni yake ya "Zuia mama na Moshi"

Kiuhalisia hilo ni jukumu la waziri wa Afya ambaye ni Ummy Mwalimu.

Makamba badala ya kutembea nchini akisikiliza na kuzitafutia ufumbuzi, kero za wananchi dhidi "Tanesco" shirika lililoko chini ya wizara yake.

Yeye amegeuka kuwa Dalali wa gesi ya Rostam Aziz ya mitungi ya kijani hiyo "Taifa Gas"
Huku akiitumia slogan ya

"madhara ya Moshi kwa Mama Mtumia Kuni"

Na hili analifanya mbele ya Rais Samia.
Hata sasa ambapo wako pamoja kwenye ziara ya kampeni ya.....

"Mama simika mguu"

inayoendelea huko Geita na Kigoma.

Vema basi Samia akambadilishia wizara kijana Pendwa ili akapige ndege wawili kwa jiwe moja....yaani serikalini na pia kwa Rostam.

Yangu ni hayo kwa sasa....

Asubuhi njema!
Ni zuia Rais Samia kugombea 2025
 
Afya Tena!!? Campeini ya mitungi ya Gas hii hii ya kupikia ndio impeleke huko?

Labda arudi Ofisi ya makamu wa Rais Mazingira hapo kidogo hiyo kampein inaweza ikaenda vizuri.
Uko sawa!
Ila huko mazingira atatumalizia misitu kwa kusafirisha magogo!
 
Hujui umuhimu wa nishati ya gesi kupikia nchi hii, funga domo lako.
Wewe ndio ufunge hilo Domo lako!
Hujitambui kabisaaa!

Ebu niambie....
Hiyo gesi ya kupikia ni watanzania wangapi wanaoweza kumudu gharama zake kwa sasa?

Achilia mbali huko mijini,angalia huko vijijini ambapo saa ingine kununua kiberiti tu,ni tatizo juu ya ufukara,....watawezaje hizo gharama za hiyo gesi mnayoipigia kampeni nyinyi "Asali Boyz"

Au ni hadithi ya yule mke wa mfalme wa ufaransa aliyewashangaa wananchi waliokuwa wakiandamana kuililia serikali iwasaidie juu ya tatizo la ukosefu wa mikate.
Naye alipouliza kwa nini wanaandamana na kupewa jibu....akasema"kama hakuna mikate kwa nini wasile keki?"

Makamba ananadi gesi vijijini huku akisahau kwamba watanzania wengi sasa wanaishi kwa mlo mmoja!

Kazi mnayo enyi watembea kuabudu binadamu wenzenu shauri ya njaa za matumbo yenu binafsi!
 
Taifa Gas bei yake iko chini nimeiona pale Runzewe.

Serikali iruzuku hii Nishati ili iwe na bei ya chini ya mkaa ili Wanavijiji wapunguze kabisa kutumia Mkaa unaomaliza Mapori ya asili.
Wewe unetoa wazo endelevu kabisa na linafaa kutumika kwenye huko juu kwa wenye mamlaka.
 
Lisu, Makamba au Hussein Mwinyi ndio marais wako watarajiwa. Kuwa makini, Hasa Hussein mcheki vizuri
 
Back
Top Bottom