Ziara za Samia na Waziri Mkuu wake,Viongozi waandamizi wa CCM wote,wako kazini wakizunguka nchi nzima huku wakifanya mikutano ambayo,haina tofauti yoyote na ile ya Kampeni za uchaguzi mkuu.
Kama...
KIZUNGUMKUTI: Waweza ita hivyo ama vinginevyo, lakini katika hili linanipa shida kwa ninavyoendelea kukua, kuishi na kuyaona mambo yanayofanyika katika nchi hii. Najaribu kujiuliza ni lini basi...
Zaidi ya 60% ya waalimu ni watoro kazini kwa mujibu wa naibu waziri TAMISEMI bwana Ndugange! Na amesisitiza tume ya utumishi wa waalimu TSC iwabaini na kuwashughulikia waalimu wote wanaobainika...
Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Kigoma, leo Jumatatu Oktoba 17, 2022
Akizindua Umeme wa Gridi ya Taifa na Uzimaji wa Jenereta katika Mkoa wa Kigoma - Kasulu Mjini.
Rais Samia amesema...
Mbunge wa Rombo kaamua kuweka hadharani chanzo mlipuko G'Mboto; anadai yalikuwa yame-expire...
Ameongea kwa kofia mbili: 1 kama mkazi wa Gongo la Mboto na 2 kama Waziri kivuli wa ulinzi.
Amesema...
CCM-tanzania yawaahidi wanakigoma na Watanzania kuwarejeshea tena kipenzi chao Mama Samian Suluhu Hassan 2025 Kwani ndani ya mwaka mmoja tu amefanya maajabu mengi,
===
Katibu wa...
Raisi wa Kenya William Ruto ni kama amesahau kuwa alikuwa Makamu wa Rais wa serikali iliyopita kwa sasa ameamua kuisimanga serikali iliyopita kuwa iliharibu uchumi kutokana na hilo naona maneno...
Hotuba yangu katika Mkutano wa Rais Samia Suluh Hassan katika Uwanja wa lake Tanganyika, Kigoma Leo 18/10/2022.
Mheshimiwa Rais nami nichukue nafasi Hii pia kukukaribisha mkoani kwetu. Siku 3...
Ikiwa utawaweka mchwa 100 wekundu na 100 weusi kwenye chupa, hakuna kitu kitatokea. Lakini ikiwa utatikisa chupa, mchwa wataanza kuuana.
Wekundu wataamini kuwa weusi ni maadui, wakati weusi...
Ndugu zangu watanzania Rais Samia amepata mapokezi ya Kihistoria, mapokezi ya kishindo, mapokezi ya aina yake, mapokezi yaliyoacha Alama ,mapokezi yaliyotikisa Kanda ya ziwa mpaka mwisho wa reli...
Tumemsikia kwa kauli yake mwenyewe leo hii.
January Makamba Waziri wa Nishati nchini.
Wakati akihutubia umati katika ziara ya Rais Samia katika mjini Geita.
Ametamka na ninamnukuu.."Napenda...
Mikutano halali ya vyama vya siasa iliyozuiliwa kinyume cha Katiba ya nchi sasa imeruhusiwa Rasmi na imepangwa kuanza Rasmi Novemba 2022.
Chanzo: Raia Mwema.
Bali ifahamike kwamba Kamati Kuu ya...
MIWA YA KIKUNDI CHETU IMECHOMWA MOTO KABLA YA MUDA WA KUVUMWA NAKUTUSABISHIA HASARA YA MAMILIONI YA SHILINGI.
Huyu ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wilaya ya Kilosa. Ukweli ni kwamba...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Chato Frank Kunzenza amewataka vijana wanaounda jumuiya hiyo kuacha tabia ya kuombaomba vitu badala yake waanzishe...
Ukifika ofisi za Bodi ya Mkopo Elimu ya Juu unachokutana nacho ni foleni kubwa ya watu waliomaliza makato kusitisha mwezi mmoja au miwili na baada ya hapo ni kuanzia tena kukatwa kupitia mshahara...
Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam
Wanasheria 5,065 waliokopeshwa zaidi ya TZS 10.6 bilioni kama mikopo wakiwa wanafunzi wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria Tanzania (Law School of Tanzania - LST)...
ZITTO KABWE anafaa kua mfano kwa viongozi wengi wa vyama vya siasa maana anajua maana halisi ya upinzania, Upinzani haina maana upinge kila kitu bali ni kupinga yasiyofaa na yanayofaa kuyaunga...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma leo tarehe 18 Oktoba, 2022
Zitto Kabwe- Kiongozi...
Na Chacha Wangwe Jr
Maelfu ya watanzania wanaojitokeza kumlaki Rais Samia Suluhu Hassan katika ziara yake Mikoani ni jambo la kuvutia lakini inapaswa ieleweke kuwa haya ni matokeo ya uchapakazi...