johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,779
- 141,666
Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema Kama MSD ikipokea ODA ya Halmashauri na kujikuta haina Dawa ijibu ndani ya Saa 24 ili DED akanunue Sekta binafsi
Na kama Dawa zipo basi zifike kwenye Halmashauri husika ndani ya Siku 30
Aidha ni marufuku MSD kuagiza/kupokea Dawa kutoka kwa Supplier wao ambazo zimebakiza Muda wa Chin ya miezi 6 ku expire
Dr Mollel alikuwa akiafiki maazimio ya Bunge yaliyotokana na Ripoti ya CAG
Source TBC