Hivi ni nani ataamini tena usalama wake akiwa hapa kwetu iwapo atapata ajali kwa uokoaji kama ule wa ajali ya Precision Air Bukoba?
Kwanza ile sio ajali bali ni Water landing ambayo kwa wengine ni...
Watu na mamlaka yao bila kusahau vitambi vyao wamefika eneo la ajali ya ndege wakiwa na simu zao mikononi bila kifaa chochote cha uokoaji. Mara wapige simu, mara wapige selfie, na vituko vingine...
Ndugu zangu kwanza Natanguliza pole zangu za dhati Toka ndani ya moyo Wangu kwa familia zilizopoteza wapendwa wao katika ajari ya ndege ya Jana, Najuwa maumivu, machungu, majonzi, huzuni, simanzi...
Hodi wenyeji
Mwanzo mtoto alipozaliwa wazazi walifurahi sana na kupiga kelele kijiji kizima kwakua mtoto alifanana sana na baba yake.Kila mgeni aliyepita alitambulishwa bila hata kuuliza kua mtoto...
Wafrika wanaouana wenyewe kwa wenyewe ulaya na marekani ni wengi kuliko wanaouliwa na wazungu.
Waafrika wanaouana Afrika ni wengi kuliko waliouliwa na wazungu wakati wa ukoloni.
Ubaguzi...
Kama kawaida ya CCM leo wakati wakuaga miili ya waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege, CCM wametumia muda mwingi kupongezana. Pongezi za kujirudiarudia vimepelekwa kwa viongozi wa CCM mikoa ya...
Ndege inaanguka mita chache kutoka kwenye runoff na mita chache kutoka kwenye marine port afu wanakufa 19 na wanaofanya kazi za uokoaji ni wavuvi wa kawaida wapiga makasia.
Serikali ya mama...
Niliichukia siku ile Bunge la Tanzania lilipopiga kura kwa wingi ya kuondoa neno 'ndugu' wawe wanaitwa 'waheshimiwa'!
Neno 'ndugu' lilikuwa linakufanya uhisi uko karibu zaidi kwa uhusiano na...
Pengine Rais haelewi ukweli kwamba anachokihangaikia yeye kusaini kila siku huko sio kinachotusumbua wananchi huku mtaani.
Unazidi kusaini mikataba,huku hata ile michache ya awali hatujaona...
Leo kwenye shughuli za kuwaaga Wahanga 19 waliofariki kwenye ajali ya Ndege huko Kagera , kuna kitu kimenishangaza sana !
Kwenye ratiba ya kutoa rambi rambi hakukuwa na nafasi ya Mwakilishi wa...
Very sad. Maono katika taifa hili ni janga kubwa. Masaa zaidi ya 24 hatujui Kama marubani waliokolewa ama la.
Taarifa tunaambiwa tusubiri itatolewa lini na nani anaiandaa taarifa hiyo.
Kwa...
Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imewasilisha taarifa yake kuhusu mahojiano iliyofanya na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) baada ya Waziri Wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda...
Kilichotokea Bukoba ni Zima moto na Uokoaji kushindwa kuokoa maisha ya Watu 19 ambao wangeweza kuokolewa
Jeshi la Zima moto na Uokoaji liko Wizara ya mambo ya ndani
Ofisi ya Waziri mkuu...
Wana JF,
Halmashauri ya Muleba ndiyo inaoongoza kuwa na utajiri mkubwa kuliko wilaya zote za Kagera kimapato. Wilaya hii ina majimbo mawili, Muleba Kaskazini na Muleba Kusini. Sehemu kubwa ya...
Serikali ya Tanzania katika mwaka 2023/24, inatarajia kukusanya na kutumia Sh43.3 trilioni ikilinganishwa na makadirio ya Sh41.5 trilioni kwa mwaka 2022/23, ikiwa ni ongezeko la asilimia 4.4...
Kwa kifupi ni kwamba Tanzania haina kitengo cha uokoaji wala vifaa vya uokoaji , Haifahamiki sababu za kutokuwa na Vifaa hivyo muhimu, siku za mwanzo kabla sijawa na ufahamu wa kutosha , nilidhani...
Habari kubwa leo ni ajali ya ndege ya Precision iliyotumbukiwa Ziwa Viktoria huko Bukoba.
Nilichoguswa ni wale wananchi ambao hawakujali uwezo wao mdogo wala upeo wao, lakini kwa moyo walijitosa...
Nasema kodi tena kwa sababu tulikuwa na kodi ya kichwa, ikaitwa kodi ya maendeleo baadaye Utawala wa Mkapa ukaifuta. Mifugo pia ililipiwa kodi na kwa wale wakongwe, kulikuwa na kodi ya baiskeli...
Ninaandika barua hii nikibubujikwa na Machozi Mimi kama Mzazi lakini nasitika kuona vyombo vya Dola ikiwemo ofisi ya mkurugenzi, wilaya Moshi vijijini, Mkuu wa Wilaya kutotimiza wajibu wao...
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, anacheza blame game. Kwa kagera hii itamtoa nje ya mchezo.
Ni kweli Mkoa una changamoto, namshauri akae na wadau wa Mkoa. Waone mikakati na mbinu za kuukomboa Mkoa. Muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.