Je, taifa letu lilipata uhuru wa kweli?

Je, taifa letu lilipata uhuru wa kweli?

Kachina95

Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
60
Reaction score
210
Nimefikiria sana baada ya kuona picha ya kiongozi mmoja kashikiwa mwamvuli asilowanishwe na matone ya maji huku roho za wananchi wake zikiangamia kwa maji!

Bado nawaza sana, huyu nae ni muAFRIKA mwenzetu?
Au ni beberu lakizungu limevaa kinyago?

Haya mambo niliyaona kwenye vitabu vya history o'level vikionyesha ukatili na uovu wa wakoloni!

Leo nayashuhudia live chini ya serikali ya CCM[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
20221106_203854.jpg
 
Jina la huyo kiongozi aliyeshikiwa mwavuli ili asilowane na mvua ni nani?
 
Back
Top Bottom