Ipo siku Wapinzani watatamka hadharani kuwa Watamuunga mkono Rais Samia Uchaguzi ujao

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,187
9,633
Ndugu Zangu Watanzania,

Huo Ni Utabiri wangu kwa jicho la mbali kwa kuangalia Hali ya mambo Inavyoendelea hapa nchini,Kwa namna Rais Samia anavyokubalika,anavyopendwa na watanzania,alivyoiteka mioyo ya watanzania,uchapa kazi wake uliotukuka,Dhamira yake njema katika kulijenga Taifa letu,upendo wake kwa watanzania, usikivu wake kwa watanzania, juhudi zake za kuimarisha maridhiano na kujenga umoja wa kitaifa, Naona Rais Samia Akiungwa mkono na vyama vya upinzani ili apite bila kupingwa .

Hakuna ajenda inayogusa hisia za watanzania ambayo Rais Samia hajaigusa na kuzifanyia kazi,hakuna kero au changamoto ambayo Rais Samia hajaitolea majibu,hakuna sauti ambayo imepuuzwa masikioni mwa Rais wetu mpendwa mama Samia,Hakuna kundi ambalo halijapewa sauti ya kusikika masikioni mwa Rais wetu Jasiri shujaa mzalendo na mcha Mungu.

Hakuna ajenda ambayo wapinzani wanaweza ibeba na kuipeleka kwa watanzania na kupokelewa kwa hisia,kwa kuwa kila ajenda imebebwa na kufanyiwa kazi na Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania, Ni kazi kila mahali amefanya Rais wetu,miradi ya kimkakati imechipua na kutamalaki maeneo mbalimbali,Taifa limetulia na kutamalaki amani,mioyo ya watanzania Ni yenye furaha na Tabasamu.

Hakuna mwenye chuki na Rais Samia,hakuna aliyeumizwa Wala kuonewa na Rais Samia,Hakuna aliye na kinyongo na Rais Samia,wote wanampenda Sana Rais Samia kwa kuwa kila mtanzania anajiona kuthaminiwa na kusikilizwa,kila mtu ana matumaini ya kutimiza Ndoto zake chini ya uongozi wa Rais Samia.

Sasa Nani wa kumpinga mama Samia wetu? Nani wa kushindana Naye? Umpinge ili uje ufanye Nini ambacho Rais wetu hajafanya? Kipi ambacho Rais wetu hajagusa? Sauti ya Nani ambayo haijasikika masikioni mwa Rais wetu? Nani ameonewa na Rais Samia? Nani kadhurumiwa? Kwani hamsikii namna ambavyo Rais wetu akihubiri Haki? Hamsikii na kuona namna ambavyo mh Rais akiwa mwenye huruma kwa kila mtu na kumtendea haki kila mtu?

Tuna taka Nini watanzania? Tunamtaka Nani Zaid ya Rais Samia? Tuna taka kipi kutoka kwa nani ambacho kimemshinda Rais Samia? Kipi ambacho tumekihitaji watanzania na hakijafanyiwa kazi na Rais Samia? Kwanini Tusimuunge mkono Rais samia? Tunamtaka malaika ashushwe ndio aje atuongoze? Kama Ni binadamu Basi niseme kuwa Rais Samia anatosha Kuendelea kutuongoza maana ametuvusha nyakati ngumu na kutufikisha hapa Kama Taifa tukiwa wamoja na wenye mshikamano,Na Ameonyesha uwezo mkubwa wa kiuongozi.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
 
Propaganda!! Hao wananchi wanyonge na masikini wanaoendelea kufikiwa na SSH, wametengenezwa na nani wakati upinzani haujawahi kushika madaraka?? Unazungumza kama nchi hii haina matatizo yoyote!

Ninakushauri uepuke kuleta mada za namna hii hapa. Watu wa humu wameshavuka viwango vya ugawaji wa tisheti, vilemba, mahindi, chumvi unaofanywa na upande uleee!! Maslow’s Hierarch of Needs haipo kwenye chakula, mavazi na malazi!!

Uliyoandika yanafaa sana kwenye mkutano wa upande ule huku viongozi wa juu wakisikiliza.
 
Propaganda!! Hao wananchi wanyonge na masikini wanaoendelea kufikiwa na SSH, wametengenezwa na nani wakati upinzani haujawahi kushika madaraka?? Unazungumza kama nchi hii haina matatizo yoyote...
Serikali kazi take ni kuwainua watu kiuchumi na siyo kuwadidimiza,serikali ya Rais Samia Ndio kazi kubwa inayoifanya kwa Sasa kuwainua watu kiuchumi kwa kuwawezesha na kuwawekea mazingira rafiki na wezeshi
 
..halafu inashangaza kidogo.

..wote wanaoshabikia hoja hii wanataka Raisi apite bila kupingwa.

..sijawasikia wakipigia debe wabunge au madiwani nao wapite bila kupingwa.

..mazingira hayo yananifanya niamini kwamba kinachoendelea ni unafiki tu.
Mambo aliyoyafanya mh Rais wetu mpendwa ndani ya muda mfupi Ni makubwa Sana,amekuwa mbele ya wakati kimaendeleo,Amefika haraka mahali ambapo mwingine asingeweza kufika kwa muda huu,hivyo Ni sahihi kumpongeza na kumpa nafasi ya Kuendelea kututumikia kututumikia watanzania
 
Serikali kazi take ni kuwainua watu kiuchumi na siyo kuwadidimiza,serikali ya Rais Samia Ndio kazi kubwa inayoifanya kwa Sasa kuwainua watu kiuchumi kwa kuwawezesha na kuwawekea mazingira rafiki na wezeshi
MTU kama wewe unakuta umejaa ufukara kuanzia kichwani Hadi kwenye kucha. Hapo ndio mwishi wako wa kuwaza
 
Kazi ya serikali ni kukuwekea mazingira wezeshi na rafiki ili wewe mwananchi ujikwamue kiuchumi kwa kuchaapa kazi kwa juhudi na maarifa
 
Ndugu Zangu Watanzania,

Huo Ni Utabiri wangu kwa jicho la mbali kwa kuangalia Hali ya mambo Inavyoendelea hapa nchini,Kwa namna Rais Samia anavyokubalika,anavyopendwa na watanzania,alivyoiteka mioyo ya watanzania,uchapa kazi wake uliotukuka,Dhamira yake njema katika kulijenga Taifa letu,upendo wake kwa watanzania, usikivu wake kwa watanzania, juhudi zake za kuimarisha maridhiano na kujenga umoja wa kitaifa, Naona Rais Samia Akiungwa mkono na vyama vya upinzani ili apite bila kupingwa .

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Naunga mkono hoja, tena amini usiamini, hata nanii, kimoyomoyo anamuunga mkono Mama, ila kwa nje, ili asiwaudhi wafuasi wake, anajifanya anampinga!.

P
 
Ndugu Zangu Watanzania,

Huo Ni Utabiri wangu kwa jicho la mbali kwa kuangalia Hali ya mambo Inavyoendelea hapa nchini,Kwa namna Rais Samia anavyokubalika,anavyopendwa na watanzania,alivyoiteka mioyo ya watanzania,uchapa kazi wake uliotukuka,Dhamira yake njema katika kulijenga Taifa letu,upendo wake kwa watanzania, usikivu wake kwa watanzania, juhudi zake za kuimarisha maridhiano na kujenga umoja wa kitaifa, Naona Rais Samia Akiungwa mkono na vyama vya upinzani ili apite bila kupingwa .

Hakuna ajenda inayogusa hisia za watanzania ambayo Rais Samia hajaigusa na kuzifanyia kazi,hakuna kero au changamoto ambayo Rais Samia hajaitolea majibu,hakuna sauti ambayo imepuuzwa masikioni mwa Rais wetu mpendwa mama Samia,Hakuna kundi ambalo halijapewa sauti ya kusikika masikioni mwa Rais wetu Jasiri shujaa mzalendo na mcha Mungu.

Hakuna ajenda ambayo wapinzani wanaweza ibeba na kuipeleka kwa watanzania na kupokelewa kwa hisia,kwa kuwa kila ajenda imebebwa na kufanyiwa kazi na Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania, Ni kazi kila mahali amefanya Rais wetu,miradi ya kimkakati imechipua na kutamalaki maeneo mbalimbali,Taifa limetulia na kutamalaki amani,mioyo ya watanzania Ni yenye furaha na Tabasamu.

Hakuna mwenye chuki na Rais Samia,hakuna aliyeumizwa Wala kuonewa na Rais Samia,Hakuna aliye na kinyongo na Rais Samia,wote wanampenda Sana Rais Samia kwa kuwa kila mtanzania anajiona kuthaminiwa na kusikilizwa,kila mtu ana matumaini ya kutimiza Ndoto zake chini ya uongozi wa Rais Samia.

Sasa Nani wa kumpinga mama Samia wetu? Nani wa kushindana Naye? Umpinge ili uje ufanye Nini ambacho Rais wetu hajafanya? Kipi ambacho Rais wetu hajagusa? Sauti ya Nani ambayo haijasikika masikioni mwa Rais wetu? Nani ameonewa na Rais Samia? Nani kadhurumiwa? Kwani hamsikii namna ambavyo Rais wetu akihubiri Haki? Hamsikii na kuona namna ambavyo mh Rais akiwa mwenye huruma kwa kila mtu na kumtendea haki kila mtu?

Tuna taka Nini watanzania? Tunamtaka Nani Zaid ya Rais Samia? Tuna taka kipi kutoka kwa nani ambacho kimemshinda Rais Samia? Kipi ambacho tumekihitaji watanzania na hakijafanyiwa kazi na Rais Samia? Kwanini Tusimuunge mkono Rais samia? Tunamtaka malaika ashushwe ndio aje atuongoze? Kama Ni binadamu Basi niseme kuwa Rais Samia anatosha Kuendelea kutuongoza maana ametuvusha nyakati ngumu na kutufikisha hapa Kama Taifa tukiwa wamoja na wenye mshikamano,Na Ameonyesha uwezo mkubwa wa kiuongozi.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Mama alishakataa kuvishwa vilemba vya ukoka !! Hili uwe unalikumbuka kila mara !!
 
Mrema alisha fanya hivyo na kina tadea nadhani..... Ila sio hao wapinzani waliopo kwenye akili yako.

Sijasoma uzi wako lkn.
 
Vipi kuhusu wabunge na madiwani "wetu wapendwa"??

Back
Top Bottom