Mjadala alioanzisha Tundu Lissu ni, Je Katiba Mpya italeta nafuu ya Maisha kwa Mtanzania?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,571
Katika yote aliyoongea Tundu Lisu la Msingi ni kupanda mno kwa gharama za maisha ikiwemo Watu baadhi kula mlo mmoja kwa siku

Lisu anaamini Katiba Mpya ndio suluhisho

Je, ni kweli?

Nilitegemea Wachumi wa nchi hii wangekuwa mjadalani tayari lakini wapi!

Mimi najiuliza Uingereza Wana hali ngumu sana ya maisha kwa sasa na wako kwenye migomo endelevu, Je Katiba yao ni Mbaya itawabidi wapate mpya?

Mungu awabariki sana!
 
Ni logic tu, tutumie bilioni 500 kwa katiba mpya ili tupate unga wa sembe, au tutumie bilioni 500 kuwekeza katika kilimo Cha kisasa Cha mahindi tupate sembe
 
Tunachozungumza ni mfumuko wa bei ambao ipo duniani kote na sisi tuna afadhali kuliko nchi zozote, Ufilipino na katiba Yao wameshindwa kuzuia kitunguu kimoja kuuzwa kwa sh.23000/= za Kitanzania jambo ambalo ni ajabu kwa wananchi wa Ufilipino.
Kenya wana katiba Bora ila mfumuko wa bei unawatesa mno, South Africa Wana mfumo bora ila bado mfumuko wa bei unawatesa.
 
Katika yote aliyoongea Tundu Lisu la Msingi ni kupanda mno kwa gharama za maisha ikiwemo Watu baadhi kula mlo mmoja kwa siku

Lisu anaamini Katiba Mpya ndio suluhisho

Je, ni kweli?

Nilitegemea Wachumi wa nchi hii wangekuwa mjadalani tayari lakini wapi!

Mimi najiuliza Uingereza Wana hali ngumu sana ya maisha kwa sasa na wako kwenye migomo endelevu, Je Katiba yao ni Mbaya itawabidi wapate mpya?

Mungu awabariki sana!
Hadithi hizo
 
These questions are too philosophical for people like you to discuss
 
Ni logic tu, tutumie bilioni 500 kwa katiba mpya ili tupate unga wa sembe, au tutumie bilioni 500 kuwekeza katika kilimo Cha kisasa Cha mahindi tupate sembe
Sembe mtauzo na tozo mtapigwa yatanunuliwa mashangingi mapya hakuna wa kuzuia. Katiba mpya bado inabaki kuwa suruhisho, hiyo pia ni logic tu
 
Katika yote aliyoongea Tundu Lisu la Msingi ni kupanda mno kwa gharama za maisha ikiwemo Watu baadhi kula mlo mmoja kwa siku

Lisu anaamini Katiba Mpya ndio suluhisho

Je, ni kweli?

Nilitegemea Wachumi wa nchi hii wangekuwa mjadalani tayari lakini wapi!

Mimi najiuliza Uingereza Wana hali ngumu sana ya maisha kwa sasa na wako kwenye migomo endelevu, Je Katiba yao ni Mbaya itawabidi wapate mpya?

Mungu awabariki sana!
Uingereza usilinganishe na TZ Mkuu ni sawa sawa na Ardhi na Mbingu ! UK kama huna kazi unalipwa pesa za kujikimu mpaka upate kazi !! Mama mwenye watoto analipwa pesa za kuwatunza watoto mpaka waanze kujitegemea ! Wale hawana njaa kama yetu !!
 
Wanataka wagawane pesa za katiba mpya lakini wanasahau huko nyuma waligomea
 
This is neither here nor there....;

Katiba ni Sheria na Sheria zetu ni mbovu hivyo kama sheria zingebana walamba asali huenda hizo chenji zingesaidia kwenye maendeleo.... LAKINI tatizo letu kubwa sio Sheria tu bali hata zilizopo hazifuatwi kwahio hata hizo zikija huenda zikawa mapambo na wengine kujiwekea sheria za kujikinga zaidi (refer Katiba ya Samwel Sitta)

Binafsi sitegemei Mwanasiasa kutuondoa kwenye matatizo yetu bali sisi wengi tukishajua nini ni nini na nini tunataka (as a group)

images
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom