Wakuu
Kuliko kuikataza mikutano ya hadhara kwa visingizio Mbali mbali ni bora kuifanyia spinning ili isilete madhara makubwa kwa wanaoiogopa!
CCM kama chama kikongwe bado kina vichwa vyenye...
KISIASA, Mafia State humaanisha nchi kuwa na serikali jambazi. Ama inatenda uhalifu moja kwa moja kupitia vyombo vyake au inaendesha makundi hatari ya uhalifu.
Jana, Rais Samia alieleza kuhusu...
Kwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais ana kinga ya kutoshtakiwa.
Ndio sababu tuna Bunge ambalo linaweza kumshughulikia pindi anaposhindwa kutekeleza Majukumu yake ipasavyo.
Sasa kama Bunge...
Prof. Mkenda
Wewe ni Mwalimu kwa ueledi,changamoto za walimu huku field huzijui!?
Kama changamoto za watekelezaji wa mtaala mpya na mfumo wake zitakuwa zile zile na matokeo yaweza yakawa yale...
Hayati Dr. Magufuli alikuwa kiongozi bora wa karne ya 21 alikuwa simba wa vita alikuwa hana mzaha na watu wazembe, mafisadi, wezi na wabadhirifu wa mali za umma.
Dr. Magufuli Historia yake...
Mada inajieleza. Lile jiwe la Tanzanite limewekwa wapi na linatunzwa na Nani?
Kama lipo litahifadhiwa hadi lini? Kama halipo Lili kwenda wapi baada ya kifo cha mpendwa wetu?
Ila hii Dunia acheni tu. Huyu Nape sijui anapokutana na Bernard Membe, Makamba, Kinana et al anawasalimiaje.
Katika Dunia epuka sana kuwa na ukaribu na mtu anayeweka pozi hii ya mikono anapokuwa...
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo, Februari 2, 2023 kwenye Mkutano wa 10, Kikao cha 3
WAZIRI MKUU: WANAOREKODI MATUKIO NA KUYARUSHA MITANDAONI WAACHE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema “Nitoe...
Wakuu habari za asubuhi?
Rejea attachment mbili hapo chini. Mmoja inaonyesha video ya mfanyakazi wa Unilever Tea Tanzania( mufindi) akizuiliwa kuingia ofisini. Attachment ya pili inaelezea mkasa...
Nilikuwa nikijiuliza hivi inawezekana vipi serikali iongozwe gizani na kwa wakati huohuo tunaambiwa eti unapambana na ufisadi. Unawezaje kupambana na ujambazi au ufisadi gizani. Ndo mana hata kwa...
Labda kwenye mambo mengine ila kwenye siasa uchambuzi wake unaonyesha upeo wake ni mdogo sana.
Nimemfuatilia hivi karibuni inaonekana anampenda Magufuli na Madikteta wengine kama anavyowatolea...
Kama kuna watu walikuwa wanaomba mgongano wa kiuongozi ndani ya Chadema sasa wanywe panadol.
Kuna wale maadui wa siasa za kishindani walikuwa wanatamani Mhe. Lissu autamani uenyekiti wa Chadema...
Mara nyingi ukiona mtu ana pupa na jambo fulani basi mwache, baada ya muda tu atashindwa kulifanya. Hii ndio imetokea kwa CHADEMA.
CHADEMA walikuwa na shauku na speed kubwa ya mikutano bila kujua...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi wa bili na bei za maji kwa wananchi wilayani Malinyi...
Kwa Ukweli huu!,Rais Samia,unapaswa kutatua Madudu haya,Yaliyopo Sebuleni Ikulu kwa sasa!,kabla ya kuhangaika na makaburi. Sikilizeni wenyewe!
Mpina ameamua kujivisha kengele, kwa manufaa ya...
Nakumbuka wananchi waliwaamini sana,lakini hayati Magufuli alituthibitishia watanzania ya kwamba nchi yetu ina wapinzani maslahi na si wanasiasa wenye lengo la kuwasaidia wananchi.
Hayati alianza...
Kwa sababu unapokuwa na viongozi ambao hawajui hatima yao, ina maana hawawezi kufanya kazi, hawawezi kufanya planning two weeks ahead, wanakuwa katika hali ya hatihati.
Kwahiyo, in effect...
Tumeambiwa Sangara wamepungua kwa asilimia 50 na samaki wazazi wamebaki asilimia 0.4 Ziwa Victoria. Sasa kama ziwa Ziwa Victoria lina Samaki wazazi asilimia 0.4 maana yake Ziwa linaenda kuwa sawa...
Katiba ya sasa inatoa madaraka makubwa kwa Rais wa JMT na hili hata Mwalimu Nyerere alilisemea.
Hivyo siyo busara kwa watu wa vetting kufumbia macho undugunization katika maeneo nyeti kwa Afya ya...
Hakuna jamii yeyote Duniani ambayo kuna usawa kwenye kila kitu. Hata hapa Marekani watoto wa George H Bush wamekuwa maarufu na kuwa Governors na mmoja Raisi kwasababu babu yao alikuwa tajiri, baba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.