Lema ameahidi kumletea Gambo zawadi Maalum atakapotua nchini

Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
8,848
15,253
Akihojiwa na moja ya kituo cha Radio jijini hapa Arusha, kuhusiana na lini atakaporejea nchini,. Mbunge wa zamani Godbless Lema amesema kuwa atarejea nchini tarehe 1/3/2023 na kuwa anategemea mapokezi makubwa kutoka kwa wananchi wake,.

Alipoulizwa kama Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo atakuwepo kwenye mapokezi hayo, Lema amesema kuwa yeye ameaandaa zawadi maalumu kwa ajili ya mbunge huyo,
Na kuwa zawadi hiyo maalumu ni lotion, ameendelea kueleza kuwa anajua kabisa mbunge huyo anapenda sana lotion na tayari ameshaanda zawadi hiyo kwa ajili ya kuja nayo hiyo tarehe 1/3/2023.
 
Akihojiwa na moja ya kituo cha Radio jijini hapa Arusha, kuhusiana na lini atakaporejea nchini,. Mbunge wa zamani Godbless Lema amesema kuwa atarejea nchini tarehe 1/3/2023 na kuwa anategemea mapokezi makubwa kutoka kwa wananchi wak...
Kwa tuliokulia Pwani anaposema kuwa kamuandalia Zawadi ya Lotion aliyekuwa Adui yake alipokuwa Arusha nchini Tanzania kabla hajakimbilia huko Ulaya aliko sasa kidogo ametushtua na kutuachia Maswali mengi.
 
Anaonekana kabisa anakuja kishari. Lema ni mtu sharishari muda wote, akitaitiwa anakimbilia kichaka cha demokrasia. Ndio maana magufuli alipiga chini huu ujinga.

Anapomuongelea Gambo atambue kuwa ana watoto na mke na dada zake. Kama ambavyo ye lema anapenda kuheshimiwa vivyo hivyo ajaribu kuwaheshimu wenzie.

Akitaka kupiga wenzie mawe asisahau ye ndii yupo kwenye nyumba ya vioo. Mpaka sasa hakuna anayejua huko canada nchi zilozoendelea kwa ushoga ye alikuwa anaishije huko. Kuanzia kula yake, vaa yake na pesa ya kutuma machame kwa wazee wake.
 
Una uhakika kuwa Lemma ameyasema maneno hayo? JF sasa hivi imekuwa ya ovyo mtu akishalewa viroba na ugoro anajitungia porojo yoyote na kuipost humu na watu wanapoteza muda wao kujadili umbea
 
Una uhakika kuwa Lemma ameyasema maneno hayo? JF sasa hivi imekuwa ya ovyo mtu akishalewa viroba na ugoro anajitungia porojo yoyote na kuipost humu na watu wanapoteza muda wao kujadili umbea
Alihojiwa jana na radio, na alikuwa anaongea live toka canada
 
IMG-20230202-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom