Iweje Rais ateue walimu Ukuu wa Wilaya ikiwa Sheria inataka watumishi wa umma wasiwe wanachama wa vyama vya siasa

Inakiwaje Mwalimu awe kada wakati watumishi wa umma sio wanasiasa?
Hayo sasa umesema wewe hakuna sehemu kwenye majukumu ya DC kuudhuria vikao vya CCM, hiko kitu hakipo.

Ndio maana nikasema kama wanaudhuria ni kwa sababu ya ukada wao tu, lakini si sehemu ya majukumu yao.
 
Na tena hatujaishia kukataa uteuzi tu tunataka tuishtaki serekali kwa kutumia majina yetu tuliyo ya brand miaka mingi kwenye teuzi zao za u DC
 
DC sio nafasi ya siasa ni ya kiserikali. Sema CCM imejaza wanasiasa kwa sababu wanateuliwa na raisi mpaka wewe umeanza kudhani hiyo ni nafasi ya siasa.
Kumbe hujui kitu DC sio cheo cha kisiasa? Rudi darasani.

Mkurugenzi wa Wilaya ndio sio mwanasiasa
 
Back
Top Bottom