Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inaendelea na mpango wa kutengeneza mazingira wezeshi kwa watanzania ili waweze kujikwamua kiuchumi kupitia mikopo yenye masharti nafuu...
0 Reactions
1 Replies
519 Views
Hapo zamani nauli za ndege hasa kwa upande wa fast jet zilikuwa nafuu sana hadi mnyinge kama mimi nikapanda kama mara tatu hivi. Lakini alipoingia hayati magufuli akawafukuza fast jet nchini...
0 Reactions
10 Replies
991 Views
Ninavyofahamu Sera ya Elimu Bure, Bima ya Afya kwa wote na Cement mfuko tsh 5000 Ilikuwa ni Sera ya CHADEMA yule shujaa Magufuli aliipora tu. Sasa kama CCM itataka kufanikiwa kwenye hizi Sera ni...
1 Reactions
5 Replies
444 Views
Na Charles William Innocent Bashungwa amekua waziri katika wizara nyingi sana ndani ya muda mfupi, kutoka 2018 - 2022 amekua waziri katika wizara 6 tofauti. 2018 Rais Magufuli alianza kwa...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Majambazi ndio hutukia bunduki kupora na kuua watu, kuteka watu na kudai fidia Awamu ya 5 ina sifa zote za ujambazi Walikuwa wakivamia maduka ya kubadilishia fedha na bunduki na kuchukua fedha...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Huu mgogoro unaoendelea ni miaka 17 hadi sasa Kambenga hana hati yoyote ya kumiliki ekari 1000 badala yake anatishia wanakijiji kwa hukumu za michongo. Jana askari wawili pamoja na familia ya...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nikiwa katikati ya harakati za kusaka mkate wangu wa siku, nikakutana na hoja ambayo si tu kwamba ilinichosha bali ilinipa mahangaiko kutokana na UPOTOSHAJI mkubwa ambao ukiuangalia kwa ndani...
0 Reactions
0 Replies
641 Views
JE, VITAMBULISHO VYA MACHINGA NI LAZIMA AU NI HIYARI? Kwa tafsiri yangu ya sheria ni kuwa Vitambulisho vya Machinga ni lazima na msingi wa tafsiri yangu ni rejea za sheria zifuatazo; (1) Kifungu...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Waziri wa Ulinzi na JKT, Innocent Lugha Bashungwa (Mb) amesema anajivunia kuongezeka kwa uzalishaji wa zao la msingi katika Shirika la Mzinga. Ameyasema hayo Disemba 13, 2022, alipofanya ziara ya...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Suala la wateuliwa kutoka CWT kukataa uteuzi kwa baadhi yao kwa kweli ni fedheha kwa serikali ya rais Samia. Waziri husika hakufanya kazi yake. Tunavyofahamu uteuzi wowote serikalini, hasa kwa...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Wabunge wengi badala ya kutafuta suluhisho la mfumuko wa bei wanatafuta kiki tu. Tumemsikia Gambo na Bushiru wote wana lalamika na kuuliza maswali wakati waziri wa kilimo alishajibu tena kwa...
0 Reactions
8 Replies
656 Views
Baada ya mateso ya muda mrefu kwa wananchi wa Mtwara na Mnivita kutokana na changamoto ya ubovu wa barabara, serikali sikivu ya Dkt. Samia Suluhu Hassani imetatua changamoto hiyo kwa kamilisha...
0 Reactions
2 Replies
677 Views
Hatuwezi kufika mwisho wa safari yetu kama tutasimama kila mahali kuwarushia mawe kila mbwa anayetubwekea. Rais nimezisikia kelele zao, nimezisikia sauti zao pale kithalani wale waliolalamika bei...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Dodoma. Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Liberata Mulamula ametaja kilichomfurahisha kwenye ziara za kamati kuwa ni basi aina ya Toyota Coaster. Mulamula...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Jana bungeni Mbunge wa Kisesa Ndg Mpina alisema, serikali imetumia pesa nyingi nje ya bajeti akaongelea malipo ya Symbion zaidi ya Dollar 350,000 Mwigulu akamjibu kuwa serikali ilitumia...
1 Reactions
6 Replies
850 Views
By Luqman Maloto RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka wa fedha 2020-2021, imehitimisha awamu ya Dk John Magufuli. Ukaguzi ujao utaanza kummulika Rais Samia...
0 Reactions
2 Replies
777 Views
Mchango wa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Joelson Mpina (Mb) akichangia kuhusu taarifa ya mwaka ya shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu na Kamati ya Kilimo Mifugo na Maji kwa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeona watu wanatema mapovu mtandaoni kuwa ni vibaya kuwasema watu waliokufa, hata kama walifanya mabaya kiasi gani Kama watu waliokufa hawasemwi, basi tusingekuwa na somo la historia Historia...
5 Reactions
9 Replies
603 Views
Hili suala la ushoga na LGBT kwa ujumla limekaa vibaya kwa siasa za kimataifa. Binafsi nadhani ni kitu ambacho itabidi kutoongelea kabisa au kuongelea kwa tahadhari kubwa. Ni kweli kama nchi ina...
1 Reactions
3 Replies
532 Views
Kwa sasa kipaumbele cha Mahakama duniani kote ni kujitahidi kumaliza kesi kwa njia ya Usuluhishi badala ya Kuhukumu. Akiwa Mkurugenzi wa Mashtaka Mh. Biswalo alionyesha uwezo mkubwa katika eneo...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom