Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakika nyumbani ni nyumbani na mkataa kwao ni mtumwa. Sisi wana Ikungi tuna mshukuru sana mama Samia kwa kuja na angalau na siasa za kiungwana za kuwakubali wapinzani. Mh mbunge halali wa Ikungi...
16 Reactions
68 Replies
4K Views
Tanzania imebahatika kuwa moja ya nchi iliyopata kuwa na viongozi bora kabisa Afrika na hata duniani kwa ujumla.Viongozi hao wamepata kuwa na mchango mkubwa Tanzania na hata kwa bara la Africa...
15 Reactions
147 Replies
17K Views
Ilifika wakati kumpigania jpm hapa JF haikuwa jambo rahisi. ilihitaji kujitoa ufahamu. Ni kazi iliyohitaji utumie nguvu, mikwara, vitisho na kupindisha ukweli. Nilijipa kazi ya kumtetea baada tu...
67 Reactions
153 Replies
14K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amefungua kituo cha kisasa cha afya cha Kairuki Green IVF. Leo tarehe 06 Februari 2023. Dar es Salaam.
0 Reactions
4 Replies
676 Views
Habari wanajamvi, Katika Taarifa iliyotoka jana kuna taasisi moja walitoa majumuisho ya Uchaguzi 2020, na Takwimu yao wamesema watanzania waliojiandikisha katika daftari ni milioni 29 na...
4 Reactions
59 Replies
5K Views
Imefahamika sasa kilichomkimbiza Lissu kutoka Ubelgiji ni ugumu wa maisha. Kwa sasa Ubelgiji maisha yako juu sana mara 2 ya Tanzania kwa kigezo cha mfumko wa bei. What is Belgium's current...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Nikimsikiliza Tundu Lissu, akiongea na ndugu zake wananchi wa Ikungi huko kwao Singida ameelezea tukio la kutaka kuuawa na dikteta yule. Ameelezea watu wema tena walio karibu na mtu yule...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Kudos Watanzania.. Tanzania imetajwa kwenye Orodha ya Nchi 100 zenye wanasayansi Bora ambao machapisho Yao yamekuwa yenye manufaa Dunia. Kwa Mujibu wa Taasisi inayochapisha tafiti za kisayansi...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema kwa mujibu wa taarifa rasmi za Tume ya Uchaguzi utagundua hakuna Mbunge wa Kuchaguliwa kule Bungeni Lisu anasema wakati wa Uchaguzi Mkuu NEC...
28 Reactions
136 Replies
8K Views
Alichondika Mdude kwenye ukurasa wa twitter. "Moja ya mapungufu ya katiba iliyopo ni kwamba, mtu kutokea Bara-Tanganyika hawezi kuwa mkuu wa wilaya Zanzibar lakini mtu kutokea Zanzibar anaweza...
43 Reactions
304 Replies
18K Views
Leo nimemsikia mubashara mheshimiwa Makamu wa Rais ndugu Philp Mpango alipokuwa anahutubia viwanja vya Mnazi Mmoja kwenye kilele cha kumbukizi ya kuzaliwa chama chetu CCM. Nilidhani kwenye...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
N:B: >> Pwani inayozungumiwa ni mkoa, sio ukanda wa pwani unaojumuisha mikoa ya ziada ya Tanga, Lindi na mtwara. Kigezo kikuu kwa marais hawa huwa ni utamaduni wao wa ustaarabu, ni utamaduni...
20 Reactions
85 Replies
5K Views
Kwa niaba ya Wananchi wa Jimbo la Igunga, Ninatoa shukrani kwa Chama chetu CCM Mkoa wa Tabora kwa kutupa heshima Wana Igunga kuwa wenyeji wa maadhimisho ya Miaka 46 ya Kuzaliwa kwa Chama cha...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Wadau nauliza Ni kosa gani walilolifanya Madaktari wa Hospital ya Korogwe mpaka kusimamishwa kazi na Mkuu wa Mkoa? Binafsi naamini Ajali ya Barabarani inapotokea Wanaostahili kuwa wa kwanza...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mkutano wa ccm hapa Ikungi umevurugika baada ya wana CCM kuamua kuukacha na kuelekea uliko mkutano wa mhe Lissu. Mkutano wa maadhimisho ya kuzaliwa ccm [emoji28][emoji28][emoji28] picha hiyo hapo...
24 Reactions
59 Replies
5K Views
Anaandika Almalik Mokiwa Tarehe 4/02/2023 katibu mkuu wa vijana UVCCM, Kenani Kihongosi alitembelea chuo kikuu Mzumbe kuzungumza sera na itikadi za chama cha mapinduzi (CCM) Waliohudhuria...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii ni kauli ya Lissu Antipasi Tundu! Akiongea na Clouds 360 television kule Tegeta, Jijini Dar es salaam nyumbani kwake. ..."Kwa sheria za Ubelgiji, mimi ninatambulika kama mlemavu, hivyo hata...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Lissu siku ya jana alikuwa na safari ya kwenda Singida kwa ajili ya kufanya mkutano wa hadhara. Alitokea Dar Ila Cha kushangaza Morogoro yakatokea maigizo ya kusema amesimamishwa barabarani...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
imetoa funzo kuwa Waafrika huwa tunatumika tu kama tambala na kutupwa huko, swala la Spika kujiuzulu kisa ametoa maoni yake ni udikteta wa hali ya juu sana. Cha kushangaza si BBC, Deutsche Welle...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…