UN: We call on the Tanzanian Government to immediately halt plans for relocation of the people living in Loliondo

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271

Tanzania: UN experts warn of escalating violence amidst plans to forcibly evict Maasai from ancestral lands​

GENEVA (15 June 2022) – UN human rights experts* have expressed grave concerns about continuous encroachment on traditional Maasai lands and housing, accompanied by a lack of transparency in, and consultation with the Maasai Indigenous Peoples, during decision making and planning.

“We are deeply alarmed at reports of use of live ammunition and tear gas by Tanzanian security forces on 10 June 2022, reportedly resulting in about 30 people sustaining minor to serious injuries from live bullets and the death of a police officer,” the experts said.

“We call on the Tanzanian Government to immediately halt plans for relocation of the people living in Loliondo and the Ngorongoro Conservation Area and begin consultations with the Maasai Indigenous Peoples, including direct contact with the Ngorongoro Pastoral Council, to jointly define current challenges to environmental conservation and best avenues to resolve them, while maintaining a human rights-based approach to conservation,” said the experts.

Chanzo: Tanzania: UN experts warn of escalating violence amidst plans to forcibly evict Maasai from ancestral lands
 
UN experts ni akina nani? Experts on what? Watanzania tuachaneni na upumbavu Wa hawa outsiders kuanzia Kenya hadi huko sijui UN.

Hakuna kitu kinaitwa UN experts halafu wakawa na nguvu ya kutia tamko juu ya nchi nyingine. Wakati Lissu akipokea mvua ya risasi hao experts mbona hawakutoa hata neno moja?

Au hicho Kitengo kilikuwa hakijaundwa kipindi kile? Upumbavu tu wa Wakenya. Ecologicaly, anthropogenic activities should stop in Ngorongoro, Hilo Halina ubishi na Rais SSH anajua hili Kwa sababu akiwa Makamu Wa Rais alisimamia Division of Environment at the Office Vice President. She is well informed. Ngorongoro isiwe kichaka cha kuchungia Wakenya. No
 
UN ni marekani,
Sa hizi hatutishani kabisa,
Wamalizane kwanza na Russia kisha ndio waje huku na sisi tutawakung'uta sasa sisi ni zaidi ya Russia hahaaaaa
Ujinga huu kawamezesha jiwe kakata moto lkn nyie bado mmejaza ujinga vichwani
Mwambie saaaami huu ujinga kama hajakupiga kibao
 
Back
Top Bottom