Tundu Lissu kuunguruma leo Saa 3 Usiku ITV kipindi cha Dakika 45, moto utawaka

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,431
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia hivi punde , kwamba yule Jamaa ambaye kwa sasa anatikisa nchi mithili ya Tetemeko la Uturuki, leo saa 3 usiku kwenye kipindi cha DK 45 cha ITV atahojiwa.

Kwa mara ya kwanza tangu ianzishwe ITV inakwenda kuzidiwa na Watazamaji, bado sijafahamu Stesheni ya TV ikizidiwa na watazamaji nini kinatokea. Je, itazima? Hapa nitaomba wataalamu wa mambo ya habari na mawasiliano wanisaidie.

Bali cha Muhimu ni kwamba hutakiwi kukosa kipindi hiki muhimu cha leo ili wewe mwenyewe ujiridhishe pamoja na mambo mengine kama 2020 kulikuwa na uchaguzi au vituko.

FB_IMG_1675688570290.jpg
 
Tatizo litakuja pale kama anayedadisi (Mwongoza kipindi) kutokuwa na uelewa mpana, watu kama Generali Ulimwengu / Hamza Kasongo tungepata darasa tosha la kuandika thesis yako ya Siasa na Uchumi.
 
Tatizo litakuja pale kama anayedadisi (Mwongoza kipindi) kutokuwa na uelewa mpana, watu kama Generali Ulimwengu / Hamza Kasongo tungepata darasa tosha la kuandika thesis yako ya Siasa na Uchumi.
Middle yuko vizuri!
 
Back
Top Bottom