Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliahidi kukamilisha miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake, kuna watu walisema kwamba miradi imesimama lakini Rais Samia Suluhu alisema miradi yote...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Wakati wa mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (TAHLISO) uliofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma jana, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama hayati raisi Magufuli asingekuwa imara na akasikiliza makelele ya Lisu, haya hapa yangetokea Tanzania. 1. Tanzania tusingekuwa na bwawa la kufua umeme ambalo ni moja ya mabwawa makubwa...
10 Reactions
18 Replies
4K Views
Katika Mkutano mkubwa wa CHADEMA pale Ikungi Singida Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika alisema yeye na Tundu Lissu walijiunga na Chadema 2004 Mnyika akasema yeye na Tundu Lissu ni Wakatoliki...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Leo yule kibaraka wa CCM alikuwa na mkutano wa hadhara hapa dar, je alikuwa na jipya lolote? CCM walikuwa wanamjazia watu ili ionekane bado yuko hai kisiasa na chama chake. Kwa wale walihudhuria...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Kama ulidhani kwamba haya mambo ya Siasa bado hayajaanza basi unapaswa kujitafakari Upya . Huko Arusha leo umefanyika Mkutano Maalum uliokuwa na ajenda moja tu , Ajenda ya kuunda kikosi kazi cha...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau nawasalimu . Kiongozi wa Awamu ya TANO alituaminisha sana Watanzania kuwa ni MZALENDO na MTETEZI wa WANYONGE Wakati wa SAKATA la MAKINIKIA Bwana huyu Aliunda TUME za WASOMI MAPROFESA...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Wanabodi, Kwa wale wenye nafasi, ifika saa 4:15 asubuhi hii, tujiunge na TBC kuangalia matangazo ya moja kwa moja ya live mubashara kutokea ikulu ya Chato. Taarifa hii ni kwa mujibu wa Tweet ya...
37 Reactions
546 Replies
53K Views
Wanabodi, Yule Bingwa wa Kemia aliyeshutukia Fumigation haiwezi kuua virusi vya Corona na badala yake akashauri watu wajifukize, hali iliyopelekea vifo nchini Tanzania kuanzia Jumatano ya wiki...
67 Reactions
174 Replies
21K Views
Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini ametoa maelekezo hayo kwa Makamanda wa Mikoa kuwafutia na kuwanyang'anya leseni madereva hatarishi ambao wamekuwa hawafuatia na kuzingatia sheria...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Utaratibu uliotumiwa na Mkutano mkuu wa CCM Kata ya Kiseke Ilemela mkoani Mwanza wa kumpigia kura ya kutokuwa na Imani na Diwani wao ni mzuri sana Napendekeza utaratibu huu utumike nchi nzima...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Katika harakati za Mh.rais Samia za kumtua mama ndoo kichwani, leo mradi mkubwa wa maji utakao maliza kabisa tatizo la maji jijini mbeya na viunga vyake umesainiwa mbele ya waziri wa maji...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania, Tegemeo la chadema miaka yote ilikuwa Ni kwa kundi la vijana,Hakika na kwa hakika vijana wa nchi hii walitumika na kutumikishwa Sana na chadema,wazazi wengi Sana wamebaki...
2 Reactions
74 Replies
3K Views
Leo Prof. Lipumba atakuwa na jambo lake Magomeni. Kulikoni wapambe wamemtelekeza? Hata timu nzima ya chawa wazamivu nayo baridi! Kulikoni Jilala, Country , Mtambuka, joni inakuwa je sasa?
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Wadau nawasalimu, Kumekuwa na watu wanapinga sana kusemwa kwa Mwendazake kwa mabaya aliyowatenda watu mbalimbali kutokana na madaraka aliyokuwa nayo. Hoja yao eti Mwendazake hayupo keshafariki...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema baadhi ya mambo yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani 1. Amefanikiwa kubadili upepo wa kisiasa. 2. Anazungumza...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Wakuu, Kwema? Huwa tunajadili mengi sana yenye tija kwa chama, Serikali na Jamii. Hii ni akili na matendo ya kiungwana sana. Sasa leo naomba tukubaliane jambo dogo tu linalohusu wenyeviti, na...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA mhe. Tundu Antipas Lissu ameeleza kuwa Tume ya Uchaguzi ya Taifa haijawahi kuchapisha wala kuonesha kwa umma matokeo ya kura za urais katika Uchaguzi Mkuu 2020. Tume...
1 Reactions
1 Replies
678 Views
Yaaani Kuna watu wanaiba kuku na vitu vidogo vidogo mitaani wanachomwa moto wengine kupigwa vibaya Sana iweje waliofoji vyeti washughulikiwe iwe nongwa iweje watendaji wazembe washughulikiwe iwe...
0 Reactions
4 Replies
679 Views
Back
Top Bottom