Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://theconversation.com/the-london-riots-ten-years-on-how-a-crackdown-on-protest-became-their-main-legacy-165048
1 Reactions
0 Replies
511 Views
Tanzania ni Nchi ya kwanza kuwa na kiwango kidogo cha Mfumuko wa bei ulio chini ya asilimia 5 ukilinganisha na Nchi nyingine za Afrika ya Mashariki.
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, Aisee hawa CHADEMA walikuwa kimya muda mrefu ila sasa nauona moto wao najinsi walivyoshika hisia na matumaini ya watanzania. Leo mida ya saa 4:30 hawa CHADEMA walipita na...
12 Reactions
29 Replies
1K Views
1. Ameshukuru Mungu kuwa yupp hai leo despite maswahibu yaliyomkumba 2. Hajalipwa stahiki zake kama Mbunge 3. Pesa ya matibabu yake hajalipwa kwa mujibu wa sheria 4. Dereva wake yupo Ubeligiji...
54 Reactions
90 Replies
5K Views
Ni wazi kuwa Rais wa awamu ya 6, Dkt Samia Suluhu Hassan, ameondoa zuio haramu za kufanyika shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani na hivyo kurejesha ukuaji wa kidemokrasia Kwa vyama vya...
10 Reactions
44 Replies
2K Views
Wahitimu waliomaliza elimu ya juu kwa kupata mkopo kutoka bodi ya mikopo kutwa wanabanwa kurudisha mikopo hiyo wakati wengi wao wanahangaika mtaani bila ajira wala shughuli za kufanya. Wakati...
1 Reactions
2 Replies
644 Views
Heshima mbele wakuu, Mimi ninaishi Dodoma eneo linaitwa Ntyuka, hivyo basi kila siku ninavyokwenda kazini ninavuka hii reli inayojengwa (mradi wa SGR). Hii inanipa fursa ya kuona maendeleo ya...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello Wadau hongereni Kwa kazi.. Ripoti ya hali ya ubora w maisha kutoka Benki ya Dunia inaonyesha kwamba ubora wa Maisha Kwa Kila Mtanzania umeimarika sana Kwa miaka 10 iliyopita. Tarifa ya...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Wiki mbili hizi zimekuwa muhimu sana kwetu sote hapa nchini. Tumesikia ya wanaotaka katiba mpya na ya wasiotaka katiba mpya. Wote kwa umahiri kabisa. "Ama Kwa hakika mwenye macho haambiwi...
8 Reactions
63 Replies
3K Views
Leo hii ukiulizwa mbunge maarufu Tanzania kwa kujenga hoja zenye mantiki hutakosa kumtaja mbunge Mpina. Amezichanga karata vizuri akatumia nafasi yake vizuri katika kipindi hichi wala hakuchagua...
16 Reactions
51 Replies
4K Views
SOPHIA MJEMA:SERIKALI AWAMU YA SITA IMEDHAMIRIA KUBORESHA HUDUMA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO. CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimesisitiza moja ya mikakati ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais...
5 Reactions
12 Replies
692 Views
Bavicha wote wamehamia Arusha kwa muda wakkongozwa na mwenyekiti wao John Pambalu Umeitishwa Mikutano mkuu wa mkoa kupanga mikakati ya mapokezi ya mh Godbless Lema Mungu wa mbinguni awatangulie!
1 Reactions
0 Replies
1K Views
PhD inajikita katika eneo fulani Dogo tu la tasnia au Sekta fulani Sasa hii ya Mwigullu Nchemba kujifanya yeye ni Bingwa wa Uchumi wote atakuja kututenda kama Kwenye Korosho za Mtwara Mwenzake...
9 Reactions
18 Replies
1K Views
Iwe ni familia au nchi, dira kubwa na muhimu kuliko zote kuyafikia maendeleo ni uongozi. Kutokana na umuhimu huo ndiyo maana mataifa huamua kutumia gharama kubwa sana kuwapata viongozi. Kiongozi...
23 Reactions
70 Replies
3K Views
Wale walifanya jaribio la kukatisha maisha yake sasa hivi wamevimbiwa. Mh Lissu sasa hivi anaishi kwa raha nyumbani kwao akiwa na familia na marafiki zake aliowazoea tangu anakua. Ila kuna watu...
29 Reactions
113 Replies
6K Views
WanaJF, SALAAM! Niende moja kwa moja kwenye agenda ihusuyo Uhuru wa MTU kutoa maoni "Tulia Ackson ambaye pia ni Mbunge na Spika wa Bunge kwa maoni binafsi alinukuiwa akisema kuwa "Hatutaiachia...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Toka 2014 mpaka sasa,inakaribia takribani miaka 5 tangu (WILLIAM FULTON) mwanzilishi na mkurugenzi wa kituo cha MANGO TREE ,kituo kilichokuwa kikihusika na Msaada Wa kielimu kwa Yatima,Wenye...
4 Reactions
103 Replies
17K Views
Mbunge wa huko Tanga mh Rashid Shangazi amesema PhD zinauzwa kama njugu kwani yeye binafsi aliambiwa atoe US Dollar 1500 atunukiwe. Shangazi amesema Dola 50 ni Usajili, Dola 550 Doctorate degree...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Spika anamaanisha wenye makaratasi ya PhD ya kusomea darasani wanadhalilishwa na Hawa wanaopewa PhD kwa kazi walizofanya kwa taifa lao, ni upuuzi kututaka tuyaheahimu makaratasi yasiyotusaidia...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom