Magufuli aistua Dunia kuhusu vipimo fake vya Corona!, Mombasa wagomea kupima Corona, wamtaja Magufuli amesaidia kustuka, wathibisha JPM is Right!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
37,670
2,000
Wanabodi,

Yule Bingwa wa Kemia aliyeshutukia Fumigation haiwezi kuua virusi vya Corona na badala yake akashauri watu wajifukize, hali iliyopelekea vifo nchini Tanzania kuanzia Jumatano ya wiki iliyopita kubakia ni vifo 16 tuu.

Sasa Bingwa huyu wa Kemia Ameishangaza Dunia na kuwa talk of town kwa kuwa rais pekee duniani aliyetumia iteligensia kuchunguza usahihi wa vipimo vya Corona, baada ya kupima papai, mbuzi na kondoo, na papai kukutwa na Corona, hivyo kuthibitisha kuhusu vipimo fake vya Corona!.

Kufuatia utafiti huu wa Tanzania, sasa umeanza kuzisaidia nchini nyingine za Africa kuzishtukia mashine hizi.

Angalia hii

Jirani zetu Kenya katika County ya Mombasa, wakazi wa Mombasa leo wagomea kupima Corona na kuwatimua wapimaji huku wakimtaja Rais Magufuli ndiye amewasaidia kuzistukia mashine hizi, baada ya dereva mmoja wa Mombasa akiwa boda ya Uganda, amepimwa akakutwa na Corona na kugomewa kuvuka boda, akarudishwa under escorts hadi Mombasa, ili akafungiwe kwenye quarantine. Kufika kituo cha quarantine jamaa akagomea kufungiwa na kulazimisha apimwe tena, huku akimtaja Magufuli amegundua baadhi ya mashine zinatoa majibu fake.

Akakubaliwa kupimwa tena, jamaa wote walishangaa majibu ya vipimo vya huyo dereva yakaonyesha hana Corona!. Jamaa hawakuamini!, wakamchukua tena sample na kumpima kwenye mashine nyingine, majibu yakawa negative, hana Corona hivyo dereva huyo akarudi kitaa.

Kufika mtaa alishangiliwa sana na kumshukuru Magufuli amewasaidia Wakenya kuzishukia mashine hizo.

Kufuatia hali hiyo, serikali ya county ya Mombasa ilipoamua kuwapima bure wananchi wake, vijana wa mtaani wakawagomea wapimaji na kuwatoa baru kwa kuwafurusha.

Gavana wa Mombasa ambaye ni Baba mkwe wetu kwa Alikiba, aliwajimba mkwara mzito hao vijana walioleta fujo na kuzuia upimaji.

Hivyo Rais Magufuli anaendelea kuishangaza dunia kwa kuzifanyia inteligensia za vipimo vya Corona kwa kutumia sample za papai, fenesi hadi oil ya magari, na Tanzania kuwa nchi ya kwanza duniani kufanya integensia hii na kutangaza matokeo!.
Paskali
 
mtu watu

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,114
2,000
Huenda mashine hizi zinalazimika kupima sample kutoka kwa binadamu tu, lakini ukilazimisha kupima sample kutoka kwa kitu tofauti na binadamu uenda ukapata majibu tofauti kwa kuwa mashine imefanya kazi isiyo ya yake ya kupima sample tofauti na ya binadamu.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
37,670
2,000
Pascal Mayalla unazikumbuka zile nadharia za chanjo polio na udhibiti wa watu Afrika?
Nini chanjo za Polio!, Marekani ndio nchi inayoongoza kwa cancer, Bill Gates ni Mmarekani, last year wametuletea chanjo ya cancer na tukaikubali wakawadunga mabinti zetu shule za msingi nchi mzima, shule zilitoa barua kupata consents za wazazi, nika search chanjo hiyo nikakuta haitumiki US!. Nikawagomea!.

Hizi baadhi ya madawa ya " kwa msaada wa watu wa Marekani" tuwe nao makini sana!.
P
 
Kashaulo

JF-Expert Member
Jun 14, 2019
1,945

Uliisemea popote hii..?
 
The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
7,153
2,000
Nini chanjo za Polio!, Marekani ndio nchi inayoongoza kwa cancer, Bill Gates ni Mmarekani, last year wametuletea chanjo ya cancer na tukaikubali wakawadunga mabinti zetu shule za msingi nchi mzima, shule zilitoa barua kupata consents za wazazi, nika search chanjo hiyo nikakuta haitumiki US!. Nikawagomea!.

Hizi baadhi ya madawa ya " kwa msaada wa watu wa Marekani" tuwe nao makini sana!.
P
Ukiletewa chanjo ya Corona mlangoni hutapokea na saa hiyo dripu zimeshagoma ilihali imetengenezwa Marekani?
 
kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,214
2,000
Pascal Mayalla yaani barabara zao unazitaka
IMG_20200204_210743.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom