johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,839
- 141,756
Katika Mkutano mkubwa wa CHADEMA pale Ikungi Singida Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika alisema yeye na Tundu Lissu walijiunga na Chadema 2004
Mnyika akasema yeye na Tundu Lissu ni Wakatoliki hivyo akamkabidhi Tundu Lissu Rozari na Maji ya Baraka kwa ajili ya Ulinzi
Ndio naulizia hapo Katoliki naweza kupata Maji ya Baraka?
Nawatakia Dominica njema!