Trilioni 360 kuwa ni kanyaboya na fedha za Plea Bargain kulipwa taslimu ni dhahiri Hayati Magufuli hakuwa mzalendo

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,074
Wadau nawasalimu .

Kiongozi wa Awamu ya TANO alituaminisha sana Watanzania kuwa ni MZALENDO na MTETEZI wa WANYONGE
Wakati wa SAKATA la MAKINIKIA Bwana huyu Aliunda TUME za WASOMI MAPROFESA kuchunguza Wizi huu wa Ukwepaji wa KODI na kuja na Majibu kuwa kuna UKWEPAJI MKUBWA wa KODI uliofanywa na BARRICK kwa Muda mrefu na baada ya MAZUNGUMZO Bwana huyu Akatutangazia kuwa BARRICK wanatakiwa Kuilipa TANZANIA TRIL.360 Ukweli nilimsifu sana BWANA HUYU.

Baada ya Miezi Tukaanza kuona MAKONTENA pale Bandarini yakiondoka tukiamini TRIL.360 Zimeingia BENKI KUU Tutatangaziwa pale IKULU lakini BWANA HUYU Akawa Kimya wala hakututangazia kuwa zile TRIL.360 TUMELIPWA.

Baada ya Ukimya Mrefu wenye AKILI KUBWA wakaanza KUHOJI na ndipo alipojitokeza Aliyekuwa WAZIRI wa Mambo ya Nje Bwana Prof KABUDI na Kututangazia kuwa "ZILE TRIL.360 ZILIKUWA KANYABOYA"

Pia kuna suala la "PLEA BARGAING" suala hilo nalo limenishangaza sana kwanini BWANA huyu Aliruhusu Watuhumiwa Wakalipe FEDHA TASLIMU Serikalini wakati SERIKALI inalipwa FEDHA zake kwa CONTROL NUMBER wenye AKILI KUBWA tukajua

Ukweli kuanzia hapo ndipo nilipoamini kuwa MZALENDO wa WAKWELI wa NCHI hii ni HAYATI BABA wa TAIFA TU
Bwana huyu HAKUWA MZALENDO

1939739020.jpg
IMG_20230210_003853_418.jpg
 
Wadau nawasalimu . Kiongozi wa Awamu ya TANO alituaminisha sana Watanzania kuwa ni MZALENDO na MTETEZI wa WANYONGE
Wakati wa SAKATA la MAKINIKIA Bwana huyu Aliunda TUME za WASOMI MAPROFESA kuchunguza Wizi huu wa Ukwepaji wa KODI na kuja na Majibu kuwa kuna UKWEPAJI MKUBWA wa KODI uliofanywa na BARRICK kwa Muda mrefu na baada ya MAZUNGUMZO Bwana huyu Akatutangazia kuwa BARRICK wanatakiwa Kuilipa TANZANIA TRIL.360 Ukweli nilimsifu sana BWANA HUYU.Baada ya Miezi Tukaanza kuona MAKONTENA pale Bandarini yakiondoka tukiamini TRIL.360 Zimeingia BENKI KUU Tutatangaziwa pale IKULU lakini BWANA HUYU Akawa Kimya wala hakututangazia kuwa zile TRIL.360 TUMELIPWA.

Bwana huyu HAKUWA MZALENDOView attachment 2514449View attachment 2514450
kila Magufuli utafikiri kuna ubaya alioufanya ambao haujawai kufanya na kiongozi yeyeto tokea dunia hianze kuwepo.
 
Neno uzalendo llilikuwa ni kichaka kilichotengenezwa maksudi ili kuwaficha walioitwa wanyonge upigaji mkubwa ktk kila sekta.
 
Wadau nawasalimu . Kiongozi wa Awamu ya TANO alituaminisha sana Watanzania kuwa ni MZALENDO na MTETEZI wa WANYONGE
Wakati wa SAKATA la MAKINIKIA Bwana huyu Aliunda TUME za WASOMI MAPROFESA kuchunguza Wizi huu wa Ukwepaji wa KODI na kuja na Majibu kuwa kuna UKWEPAJI MKUBWA wa KODI uliofanywa na BARRICK kwa Muda mrefu na baada ya MAZUNGUMZO Bwana huyu Akatutangazia kuwa BARRICK wanatakiwa Kuilipa TANZANIA TRIL.360 Ukweli nilimsifu sana BWANA HUYU.Baada ya Miezi Tukaanza kuona MAKONTENA pale Bandarini yakiondoka tukiamini TRIL.360 Zimeingia BENKI KUU Tutatangaziwa pale IKULU lakini BWANA HUYU Akawa Kimya wala hakututangazia kuwa zile TRIL.360 TUMELIPWA.
Baada ya Ukimya Mrefu wenye AKILI KUBWA wakaanza KUHOJI na ndipo alipojitokeza Aliyekuwa WAZIRI wa Mambo ya Nje Bwana Prof KABUDI na Kututangazia kuwa "ZILE TRIL.360 ZILIKUWA KANYABOYA"
Pia kuna suala la "PLEA BARGAING" suala hilo nalo limenishangaza sana kwanini BWANA huyu Aliruhusu Watuhumiwa Wakalipe FEDHA TASLIMU Serikalini wakati SERIKALI inalipwa FEDHA zake kwa CONTROL NUMBER wenye AKILI KUBWA tukajua
Ukweli kuanzia hapo ndipo nilipoamini kuwa MZALENDO wa WAKWELI wa NCHI hii ni HAYATI BABA wa TAIFA TU
Bwana huyu HAKUWA MZALENDOView attachment 2514449View attachment 2514450
Hao kina Mkwele na Genge lake sindio waasisi wa hio michezo? Tena afadhali hata Magufuli alikuwa kwa upande mwengine anasaidia wananchi wengi dhidi ya kero za kitaifa.

Hawa walamba asali band wao hawatatui kero na wanapiga kwa kwenda. Maisha yanazidi kuwa magumu na hawajali wala nini. Nyie mfe tu ila madili yao watapiga tu.
 
Wadau nawasalimu .

Kiongozi wa Awamu ya TANO alituaminisha sana Watanzania kuwa ni MZALENDO na MTETEZI wa WANYONGE
Wakati wa SAKATA la MAKINIKIA Bwana huyu Aliunda TUME za WASOMI MAPROFESA kuchunguza Wizi huu wa Ukwepaji wa KODI na kuja na Majibu kuwa kuna UKWEPAJI MKUBWA wa KODI uliofanywa na BARRICK kwa Muda mrefu na baada ya MAZUNGUMZO Bwana huyu Akatutangazia kuwa BARRICK wanatakiwa Kuilipa TANZANIA TRIL.360 Ukweli nilimsifu sana BWANA HUYU.

Baada ya Miezi Tukaanza kuona MAKONTENA pale Bandarini yakiondoka tukiamini TRIL.360 Zimeingia BENKI KUU Tutatangaziwa pale IKULU lakini BWANA HUYU Akawa Kimya wala hakututangazia kuwa zile TRIL.360 TUMELIPWA.

Baada ya Ukimya Mrefu wenye AKILI KUBWA wakaanza KUHOJI na ndipo alipojitokeza Aliyekuwa WAZIRI wa Mambo ya Nje Bwana Prof KABUDI na Kututangazia kuwa "ZILE TRIL.360 ZILIKUWA KANYABOYA"

Pia kuna suala la "PLEA BARGAING" suala hilo nalo limenishangaza sana kwanini BWANA huyu Aliruhusu Watuhumiwa Wakalipe FEDHA TASLIMU Serikalini wakati SERIKALI inalipwa FEDHA zake kwa CONTROL NUMBER wenye AKILI KUBWA tukajua

Ukweli kuanzia hapo ndipo nilipoamini kuwa MZALENDO wa WAKWELI wa NCHI hii ni HAYATI BABA wa TAIFA TU
Bwana huyu HAKUWA MZALENDO

View attachment 2514449View attachment 2514450

Atleast hata yy alisema kuwa makinikia ni wizi unafanyika

Kuliko wale ambao walisema makinikia ni mchanga Tu ambao hauna kitu

Magu anaweza kuwa sio mzalendo sawa hiyo ni Kariba ya Marais wote wa Africa but

Magu was Rais Bora Kwa tanzania kuliko wengine wote waliopita na watakao kuja
 
Wapumbavu ndo mlikuwa mnachotwa na kusubiri ndege ferry .

Trilioni 360?mnazinua kweli?
Uchumi WA Africa kusini Tu haujafika hizo pesa...halafu ndo mje mlipwe Kwa siku moja?mara tano ya uchumi WA Tz??na mliamini??
 
Atleast hata yy alisema kuwa makinikia ni wizi unafanyika

Kuliko wale ambao walisema makinikia ni mchanga Tu ambao hauna kitu

Magu anaweza kuwa sio mzalendo sawa hiyo ni Kariba ya Marais wote wa Africa but

Magu was Rais Bora Kwa tanzania kuliko wengine wote waliopita na watakao kuja
RAIS BORA lazima awe Mzalendo kama hawezi kuwa Mzalendo hata URAIS BORA hana
 
Wadau nawasalimu .

Kiongozi wa Awamu ya TANO alituaminisha sana Watanzania kuwa ni MZALENDO na MTETEZI wa WANYONGE
Wakati wa SAKATA la MAKINIKIA Bwana huyu Aliunda TUME za WASOMI MAPROFESA kuchunguza Wizi huu wa Ukwepaji wa KODI na kuja na Majibu kuwa kuna UKWEPAJI MKUBWA wa KODI uliofanywa na BARRICK kwa Muda mrefu na baada ya MAZUNGUMZO Bwana huyu Akatutangazia kuwa BARRICK wanatakiwa Kuilipa TANZANIA TRIL.360 Ukweli nilimsifu sana BWANA HUYU.

Baada ya Miezi Tukaanza kuona MAKONTENA pale Bandarini yakiondoka tukiamini TRIL.360 Zimeingia BENKI KUU Tutatangaziwa pale IKULU lakini BWANA HUYU Akawa Kimya wala hakututangazia kuwa zile TRIL.360 TUMELIPWA.

Baada ya Ukimya Mrefu wenye AKILI KUBWA wakaanza KUHOJI na ndipo alipojitokeza Aliyekuwa WAZIRI wa Mambo ya Nje Bwana Prof KABUDI na Kututangazia kuwa "ZILE TRIL.360 ZILIKUWA KANYABOYA"

Pia kuna suala la "PLEA BARGAING" suala hilo nalo limenishangaza sana kwanini BWANA huyu Aliruhusu Watuhumiwa Wakalipe FEDHA TASLIMU Serikalini wakati SERIKALI inalipwa FEDHA zake kwa CONTROL NUMBER wenye AKILI KUBWA tukajua

Ukweli kuanzia hapo ndipo nilipoamini kuwa MZALENDO wa WAKWELI wa NCHI hii ni HAYATI BABA wa TAIFA TU
Bwana huyu HAKUWA MZALENDO

View attachment 2514449View attachment 2514450
Subir akina jilala, etwege, magonjwa mtambuka, countrywide, ussr waje hakika patachimbika! Haiwezekan uchafue legacy yao hivhiv 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom