Arusha: Kamati ya Mapokezi ya Lema yaundwa

Arusha: Kamati ya Mapokezi ya Lema yaundwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,328
Reaction score
289,327
Kama ulidhani kwamba haya mambo ya Siasa bado hayajaanza basi unapaswa kujitafakari Upya .

Huko Arusha leo umefanyika Mkutano Maalum uliokuwa na ajenda moja tu , Ajenda ya kuunda kikosi kazi cha kumpokea Nabii Godbless Lema hapa tarehe 1/03 /2023 atakapoua KIA

Mkutano huo Maalum Huu hapo

FB_IMG_1676130806307.jpg
FB_IMG_1676130798437.jpg
FB_IMG_1676130789456.jpg
 
Lema hana nauli ya kurudi, kwenye kamati Jana wamebishana sana, wanataka Kila mtu atoe laki tano tano, pia wanaandaa ulinzi ili watu wenye hukumu za mahakama za kumfunga kama civil prisoner wasimsumbue
 
Back
Top Bottom