Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

na Happiness Mtweve, Dodoma KATIKA kile kinachoweza kutafsiriwa kama ujasiri wa kujitoa kafara, Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM), ameungana na wabunge wa kambi ya upinzani kuipinga...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
MAELEZO BINAFSI JUU YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI. Kwa mujibu wa kifungu cha 28(8), naomba kutoa maelezo binafsi juu ya matumizi ya kawaida ya serikali kuwa makubwa kuliko mapato ya ndani na...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
WADAU NAOMBA NIANZE KUTOA MTILILIKO WA MICHANGO YA MBUNGE WA KISESA BW.LUHAGA J.MPINA HAPA UWANJANI NIKIWA NA MAANA YA KUKUPA MWANYA NA NAFASI WEWE KUWEZA KUMLINGANISHA MPINA NA MBUNGE YOYOTE AMA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe. Charlotta Ozaki Macias na Ujumbe wake waliofika Ikulu Zanzibar kwa...
0 Reactions
0 Replies
581 Views
Kwa nini watumishi wengine wa Umma wanapata mishahara yao lakini pia Serikali inawagharimia mahitaji yao yote ya kila siku, kama vile Chakula, Gari, Mawasiliano, Nyumba nk. Lakini Walimu...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Pamoja na utawala wa mwendazake kutamatika, bado mbinu chafu zinazoongeza hofu dhidi ya wnanchi na mali zao zinaendelea kwa kasi. Takribani wiki moja sasa imepita,siku ya Ijumaa iliyopita watu...
6 Reactions
70 Replies
5K Views
Serikali ya awamu ya sita ya Rais Samia inaanda mpango wa kuwakopesha vijana wa vyuo vikuu pale wanapohitimu masomo ili kuwasaidia katika kujiajiri.
0 Reactions
0 Replies
519 Views
Sio wote hatujui chochote kumhusu mjenzi huyo wa kizazi kipya cha wanasiasa chipukizi hapa Tanzania. Yupo anaejua alipo. Anayejua alipo yupo miongoni mwetu, na kila tunachozungumza kumhusu...
10 Reactions
41 Replies
3K Views
Tanzania ukifanya vizuri Sana lazima kuna sehemu utabutua. Uhamiaji mmefanya vizuri Sana kusogeza huduma za Pasipoti na Visa za kielekronikia kwenye mtandao. Utaratibu wa kuomba na kukamilisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kweli kuwa vita vya panzi ni furaha ya kunguru. Hata hivyo kwa mustakabala wetu wakiwamo watoto wa wajukuu zetu, tusiache mbachao kwa msala upitao. Haina shaka kuwa nyongeza ya kwenye "boom"...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya chama hicho. Chanzo: ITV Dakika 45
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Ripoti ya maendeleo ya Uchumi wa Tanzania imewasilishwana Benki ya Dunia muda huu ikionyesha ukuaji wa kasi wa Tanzania kiuchumi kulinganisha na nchi nyingine za Kati mwa Jangwa la Sahara. Benki...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
The doctrine of separation of powers implies that each pillar of democracy - the executive, legislature and the judiciary - perform separate functions and act as separate entities. The executive...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu alisema atashughulikia suala la Katiba Mpya na kuna watu wengine wanahoji kwanini mchakato wa Katiba Mpya unachelewa. Sababu za kuchelewesha Katiba Mpya Rais Samia Suluhu...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
UVCCM Taifa 13 February, 2023 Miaka miwili ya Mama hakuna kilichosimama Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, sehemu ya 5 Isaka - Mwanza (KM 341) unaotekelezwa na kampuni ya China Civil...
1 Reactions
0 Replies
747 Views
Habari nzuri kwa watanzania, habari mbaya kwa Lissu, Zitto, Lema, Mbowe na wasaliti wote. Ni Magufuli tena. Leo Jiji la Mwanza linazizima wakati Meli kubwa MV Mwanza " Chombo ya Magufuli"...
18 Reactions
27 Replies
3K Views
Haya ndiyo matokeo ya kulazimishana kupatiwa viongozi. Wabunge na madiwani wengi tulionao sasa wanatokana na ile kauli ya namuhitaji huyu mtu awe Mbunge, namuhitaji huyu mtu awe Diwani mnileteeni...
11 Reactions
77 Replies
4K Views
Ndg wanaJamiiForums Dola ina nguvu zaidi ya kifaru na mizinga naongea haya kwa sababu ifuatayo 1. Dola imeweza kunyamazisha habari ya vyombo kwa sasa wanatoa taarifa na wala sio habari 2...
8 Reactions
40 Replies
3K Views
Naomba mnipe indicators ambazo mtu anaweza kuzitumia kuonesha kuwa Rais fulani/mtawala fulani/serikali fulani imeshindwa kutawala....
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Mh spika bila kumtaja moja kwa moja amesema jamaa amenunua phd hiyo kwa usd 2500 Pia amehoji kwanini wote wanapewa na vyuo vya nje sio vya ndani
22 Reactions
116 Replies
11K Views
Back
Top Bottom