Tundu Lissu: Tume ya Uchaguzi ya Taifa haijawahi kuchapisha wala kuonesha kwa umma matokeo ya kura za urais katika Uchaguzi Mkuu

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,603
29,747
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA mhe. Tundu Antipas Lissu ameeleza kuwa Tume ya Uchaguzi ya Taifa haijawahi kuchapisha wala kuonesha kwa umma matokeo ya kura za urais katika Uchaguzi Mkuu 2020.

Tume kwa mujibu wa sheria inayoiunda, inapaswa kuchapia matokeo ya kura za urasi kwenye gazeti la serikali na kwenye tovuti zake. Lakini Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekwepa kutimiza takwa hilo la kisheria baada ya kumtangaza mshindi wa uchaguzi mkuu 2020.

Ameeleza kuwa matokeo ya kura za wabunge na madiwani zimwchapishwa nchi nzima lakini hakuna matokeo ya kura za Uchaguzi wa Urais wa Tanzania na Zanzibar.

My Take
My question

Je, CCM ilipindua meza kibabe kama anavyotamba Spika Mhe. Tulia Akson kwamba CCM haipo tayari kuachia hatamu za nchi hata kama watapaswa kufanya hivyo kikatiba?

Miezi michache kabla ya Uchaguzi Mkuu 2020. Kauli kama hiyo aliitamka aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ally Kakurwa kuwa CCM itatumia dola kuendelea kuahikilia hatamu za uongozi.

Tanzania inabakwa sana kidemokrasia
 
Upumbavu ukirudiwarudiwa unaleta kichefichefu ukiona wati innocent wanaukubali. Mjumbe kwa nini hukitaji hicho kipengele cha katiba au cha sheria ya uchaguzi?

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom