Wakuu Salaam;
Mzee wetu wa siku nyingi katika Nchi yetu hasa katika tasnia ya Siasa kawa kimya sana.
Nimeona nimuulizie sababu ni muhimu kujua hawa Viongozi wamepotelea wapi, wana mchango mkubwa...
Salute, vyama vya upinzani viwili vikubwa Tanzania,badara ya kueleza namna nzuri ambayo watatumia kuondoa kero za wananchi na kuwapunguzia mzigo wa maisha magumu, badara yake vimejikita...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Godbless Lema amemuomba Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongolo awe mgeni rasmi Kwenye mkutano wa hadhara siku atakayowasili Machi Mosi
Lema ametoa ombi hilo...
Askari wa kikosi cha kulinda usalama wa nchi za Afrika wameweza kugundua hilo.
Mashushu wa Irael walifanikiwa kuingia ktk kikao cha viongozi wa umoja wa Afrika kinacho endelea nchini Ethiopia...
Godbless Lema, kwa tweet yako hii nimelazimika kuamini kwamba baada ya kugundua kwamba kuna maslahi yanakupita na huwezi kumhoji Mwenyekiti wako, na kwasababu unao uhitaji mkubwa wa mapene ni...
Mara zote nimekuwa nikisia pesa inatoka Tanganyika kwenda Zanzibar. Mfano soma nukuu hii kutoka kwa rais wa JMT;
”Kwa mfano mwezi huu kulikuwa na vimaneno sijui hakuna pesa serikalini pesa...
Baada ya Ujio wa Samia Suluhu Hassan kuwa rais wa Tanzania, kiongozi mkuu wa ACT wazalendo ndugu Zitto Kabwe akautangazia umma kuwa tusimtegemee kuikosoa serikali ya Samia kama tulivyozoea kumuona...
Mtanikumbuka kwa Mema!
Kesho Jiji la Mwanza litazizima wakati Meli kubwa MV Mwanza " Chombo ya Magufuli" itakaposhushwa Majini
Tukio hilo litashuhudiwa na mamilioni ya Wapenda maendeleo...
Nchi mbalimbali, bila hata ya kujitangaza, lakini zinafahamika kwa mambo fulani ya pekee. Mambo hayo yanayozitofautisha nchi hizo na mataifa mengine, yanakuwa sababu ya mataifa hayo mengine...
Duh
===
"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya
Nimuombe tu Mungu wa mbinguni aingilie Kati aturehemu na kutusamehe pale tulipokengeuka
Kuna wakati inakuwa vigumu sana kuitofautisha Siasa na Dini hapo nchini kwa sababu wanatumia formula moja...
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema wao ndio walimshawishi Rais Samia hadi akakubali kuruhusu Mikutano ya hadhara
Naye KC Zitto Kabwe ameitaka serikali kuwavua Ujaji wale...
Ni suala la muda tu, tunawaambia humu kila siku!
Kwamba nchi hii, falsafa za Magufuli zilikuja kwa muda muafaka!
Na style yake ya kutatua migogoro ya kijamii ilikuwa sahihi!
Miaka miwili baada ya...
“Kuna mashirika ambayo wenyewe wangehitaji ajira za harakaharaka lakini unaambiwa subiri Tume ya Utumishi ikae, subiri sijui utumishi ifanyeje mwaka mzima taasisi kwa mfano TRA inataka watu...
Inawezekana kwa miaka mingi swali lililokuwa kichwani kwa Rais Samia ni namna gani ataweza kukifanya kilimo kiwe cool (kiwe na mvuto).
Kilimo kilipewa sura ya matatizo kwa Vijana kufanya kilimo...
Wakuu,
Nakubali tatizo kubwa ni katiba iliyopo na najua muda si mrefu tutaipata!
Tatizo kubwa zaidi hapa kwetu ni kwamba;-tuliamua kama Taifa
, kuwepo mishahara MIKUBWA sana, posho kubwa sana...
Ni ushauri wangu wa Mwisho kukupa hutaki unaacha!
Mmekopa kushusha bei ya mafuta Ili bidhaa zishuke lakini wapi!
Mmemnanga marehemu Sana lakini wapi,
Mmetoa ahadi za uongo Napo pia wapi!!bila...
Tanzania imejitoa rasmi katika Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi (Open Government Partnership-OGP) hatua ambayo inazua wasiwasi kuhusu utekelezaji wa sera ya uwazi na...
Wakuu,
Awamu zote za serikali Ngorongoro haikuguswa kabisa!
Wamasai waliachwa kama urithi wa ikolojia ya asili kwa Watanzania.
Ngorongoro ilibaki kama utambulisho pekee asilia wa utamaduni wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.