Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mh.Raisi pole kwa majukumu ya kila siku katika kukuwatumikia wananchi wa Tanzania. Leo Kuna jambo ninaomba kuliwasilisha. Ma-DC wengi ni wapya na uliwateua mwenyewe mwaka Jana June na wengi ni...
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Wengi wenye akili tuliweka tahadhari kutokana na ile mikwara mingi ambayo chadema walianza nayo, Tulijua Lazima chadema watakwama na tukahoji hao watu mnaoringia kuwa mtawafanyia mikutano wapo...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Mtaalam wa picha za ndege (Aviation Photographer) anayetumia jina la Woody Aeroimages ameithibitishia Kwanza TV kuwa ndege iliyoagizwa na Tanzania ni LN19 ambayo ni mmoja ya "Terrible Teens" kama...
21 Reactions
413 Replies
53K Views
MBUNGE NICHOLAUS NGASSA: "MKANDARASI ZINGATIA RATIBA YA UTEKELEZAJI WA MRADI" - JIMBO LA IGUNGA Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, amemtaka Mkandarasi wa Mradi wa Usambazaji...
0 Reactions
3 Replies
649 Views
Ni Ujinga, Utindiga, Ututusa na Ubwege kumuogopa Rais kwa miaka 7 mkiwa mmeufyata halafu leo amekufa ndio mnatumia Mikutano ya hadhara kumsimanga, kumkejeli na kumtukana Popote duniani silaha kuu...
11 Reactions
79 Replies
3K Views
Ewe rafiki Erythrocyte .... Badala yake ukakimbilia kuripoti ziara ya Balozi wa Uswisi katika ofisi za JamiiForums ambako wewe hata hatujui uhusika wako huko, ingawa kwa tukio lile umetufumbua...
5 Reactions
51 Replies
3K Views
Tumeona kwenye baadhi ya vyombo vya habari kwamba eti huko CHADEMA kunafukuta , na kwamba eti kuna mgogoro , na wapambe maandazi nao wakashadadia as if kuna ukweli wowote. Sasa nawaambia hivi...
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakati Makamba Gang mkiendelea kumkejeli, Bado JPM ndie atakuwa mbeleko yenu mpaka 2030. Hata kama aliwaminya wanasiasa lakini alikuja na vision yake ambayo inaonekana mpaka sasa! Huu ndio Ukweli...
28 Reactions
137 Replies
5K Views
Akiwa katika mahojiano na clouds, Zitto amekiri Watanzania walifurahi ujio wa Rais Magufuli na waliona Mambo yanakwenda, dunia hii Mungu atunusuru na makasuku, leo anaongea hili kesho anaongea Lile.
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Na Yahya Msangi.. Nimeona kwenye mitandao watu wakikebehi juhudi za BOT kulinda hela zetu za kigeni. Nadhani wameomba jeshi lilinde maduka ya FOREX (BUREAU DE CHANGE)? Unajua ukiwa mjinga...
13 Reactions
62 Replies
7K Views
Ni wazi kwa sasa hakuna tena wa kumfunga paka Kengele, wengi waliamini Lissu angeweza hii kazi kwa kuwa wanasema yeye sio muoga. Lakini cha kushangaza nae ameonyesha uoga na ameshindwa. Maswali...
1 Reactions
8 Replies
891 Views
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa. Vijana wa nchi hii...
9 Reactions
366 Replies
8K Views
Wezi wa mitandao wameishinda serikali! Vibao vya makazi vimeimarisha nini tangu kuwekwa kwa gharama ya zaidi ya B360? Tunashuhudia kila mwaka nchini, Serikali kupitia TCRA, tukielekezwa na...
0 Reactions
2 Replies
655 Views
Tarehe 19 Februari 2023 chama cha ACT Wazalendo walifanya mkutano wao wa Kwanza ambapo viongozi wake wa kitaifa walishiriki na kuongea na wananchi. Cheche zilianza kuonekana pale aliposimama...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
ACT wanaishi katika mkumbo mkubwa sana na wala hawatafika popote kwa maana hawana dila za mbele badala yake wanaangalia nyuma. Kitendo cha ACT Wazalendo kumruhusu kiongozi wake kupambana na...
0 Reactions
1 Replies
931 Views
Tunajua unalipwa na CCM kuhujumu maisha ya watanzania. Ndio maana hata hko nyuma ulikamatwa live ukila milungula ili kuhujumu watanzania. Hutaki CCM iondoke madarakani Hizi porojo acha kutuletea 👇
1 Reactions
12 Replies
751 Views
Vita ya kugombea maridhiano imekuwa kubwa sana hapa Tanzania as if wananchi wanataka hayo maridhiano zaidi ya chakula. Baada ya mbowe kufoka kule mwanza kwamba wao ndio vinara wa kupigania uhuru...
0 Reactions
1 Replies
527 Views
NIlipata wasaa wa kumsikiliza Zitto kwenye mkutano wa hadhara kwanza wa ACT Wazalendo 2023 pale uwanja wa Zakhem Mbagala. Niseme kwa kukiri kwamba, kiongozi huyu ambaye ameanzia na kukulia...
1 Reactions
15 Replies
811 Views
Songoro Marine ndio kampuni pekeee (local) iliyokuwa inapewa tenda za kutengenza meli na vivuko kila mahali nchini Tanzania (sijui walikuwa wanatumia mbinu gani) Songoro Marine Mkazi wa Ilemela...
27 Reactions
85 Replies
10K Views
Maana kuna watu humu misongo ya mawazo inaelekea kuwaua! Hasira za kuukosa utamu wa posho za siasa kumewatoa kwenye Reli. Vyeti fake mlioko mitaani kwa wingi,inafikia mahali mko radhi kulala...
2 Reactions
20 Replies
914 Views
Back
Top Bottom