Maisha Yetu Wakinabe! Wanamapinduzi Wameshika Mpini!

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
3,377
Reaction score
1,957
Kila mpinga "Rushwa"anaitwa ....
"Sankara Gangi" Tunalazimishwa na kuaminishwa...
Sankara alikuwa Mbaya na Mwizi!
Ili tu kumfurahisha aliyewekwa na waliomuondoa mpendwa wetu Sankara!

Waliokuwa wafuasi wa Sankara,wanalazimishwa kumsifu aliyewekwa na team Compaore!

Team Compaore wamejipanga kila kona wakichota mahela!

Mitandaoni wamewekwa vibaraka wa kumsifia Mama Compaore!

Mitandaoni wamewekwa vibaraka wa kuharibu Sifa za Sankara!

Tulimuona Compaore na mshirika wake wakiwa Hijja kujaribu kutubu!

Maisha ya Bukinabe ni Maigizo tupu!

Wanamapinduzi wanaishi kama Peponi,Wananchi tunalambishwa Shubiri!

Tunasuniri kuhamia Burundi!

Mungu uendelee kuiweka Roho ya shujaa wetu Sankara Mahali Pema Peponi.

Ukijaa povu,jiwe la giza limekuumiza!
View attachment 2523006
 
Yaani Sankara unamlinganisha na lile SHETANI!!lililokuwa linajificha kwenye kivuli cha uzalendo?!!
 
Jiwe la giza limekupata tayari!

Cheti feki,mishahara hewa,matajiri wezi na Viongozi wezi wazembe wa kimfumo!
walikuwa hawana nafasi kwa Sankara!

Sankara hakucheka na kima mpaka anauliwa na Compaore team!
 
Kama yote hayo aliyadhibiti ni kitu gani cha maana alikifanya?!!zaidi ya kuwatia ujinga wananchi eti UNYONGE NI SIFA!!MUNGU FUNDI
 
Mkuu, angalia cheti chako Cha hospitali ya mirembe, hujapitiliza klinic yako?
Nilijua jiwe la giza halitakukosa!

Tatizo lenu kina chiembe!

"Cheti...ilikuwa....embe!"
A.K.A.... chiembe

Mlidhani cheti feki ni ufunguo wa Maisha!

Sasa Marehemu amewaachia msongo mkubwa sana wa mawazo!

Kila mkiamka mnatamani kwenda kupigana ili mrudishwe makazini!

Wengine kila mkiwaza Ubunge wa Bukinabe.....
Na jinsi mnavyopigika!
Hamuamini kinachoendelea!
Mnateseka kuliko hata aliyekufa!
Mnateseka kuliko familia ya Marehemu Sankara!
 
Kama yote hayo aliyadhibiti ni kitu gani cha maana alikifanya?!!zaidi ya kuwatia ujinga wananchi eti UNYONGE NI SIFA!!MUNGU FUNDI
Usijitowe akili.......
Unajua fika,ila Msongo wa Mawazo ni ugonjwa mbaya sana!

Mtakufa mioyo na yenu ikiwa imechoka,haifai hata kuliwa na fisi!
 
Nilijua jiwe la giza halitakukosa!

Tatizo lenu kina chiembe!

"Cheti...ilikuwa....embe!"
A.K.A.... chiembe

Mlidhani cheti feki ni ufunguo wa Maisha!

Sasa Marehemu amewaachia msongo mkubwa sana wa mawazo!

Kila mkiamka mnatamani kwenda kupigana ili mrudishwe makazini!

Wengine kila mkiwaza Ubunge wa Bukinabe.....
Na jinsi mnavyopigika!
Hamuamini kinachoendelea!
Mnateseka kuliko hata aliyekufa!
Mnateseka kuliko familia ya Marehemu Sankara!
Mkuu, naona ajira ya kuteka na kuua watu imekufa na kifo Cha huyo jahili
 
Usijitowe akili.......
Unajua fika,ila Msongo wa Mawazo ni ugonjwa mbaya sana!

Mtakufa mioyo na yenu ikiwa imechoka,haifai hata kuliwa na fisi!
Yaaani Mungu aliona ili kuwaokoa hawa watu acha nifanye YANGU!!!sasa watu wanaishi kwa utulivuuu hadi raha,.mshamba mmoja tu unataka kujifanya Mungu,na wale wapambe wake walipokuwa wakimsifia ndio anajiona mdogo wake GOD!!!
 
Kati yako na familia yake Sankara!

Ni nani mwenye shida mpaka anasambaza msongo wa mawazo mitandaoni?

Uliishamuona mmojawapo wa familia yake akihangaika hata na siasa uchwara za wakinabe?

Wote wamebaki kwenye professional zao!

Nyinyi pambaneni na matatizo yenu!

Mnahangaika kuliko wafu!
Mmechoka miili hata mkifa mizoga yenu haitaliwa hata na fisi wenye njaa!
 
Zito alishawaambia kuwa KAMA MNAMPENDA SANA MFUATENI HUKO.
 
Back
Top Bottom