Awamu ya sita inavyozikwa rasmi kwa kafara la sakata la Ngorongoro

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
8,512
17,420
Wakuu,

Awamu zote za serikali Ngorongoro haikuguswa kabisa!

Wamasai waliachwa kama urithi wa ikolojia ya asili kwa Watanzania.

Ngorongoro ilibaki kama utambulisho pekee asilia wa utamaduni wetu na tunu ya kujivunia ulimwenguni mwote.

Wahusika wameamua KUTUMIA udhaifu wa serikali ya awamu hii kukamilisha mchakato wao wa Muda mrefu na kumwangushia jumba bovu mama huyu.

Awamu hii ni HITIMISHO la kilele cha ufisadi na ubadhirifu mkubwa KABLA ya nyakati ngumu za kufunga mkanda zijazo katika kujenga Tanzania mpya.

Nalifananisha sakata hili na mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 KWA unyeti,usiri na ukimya wa Dunia ya vyombo VYA habari.

Sijajua anaeratibu uovu huu ni nani hasa!!na kwanini wako kimya hasa vyombo VYA ulinzi na usalama wa nchi yetu labda KWA sababu mkuu wa majeshi kastaafu na BADO mpya hajateuliwa Hadi Sasa!

Labda kuna juhudi za wanaume wa kweli nyuma ya pazia wanafuatilia sakata hili mimi sijui! Lakini inaumiza Sana kama kuna uhalisia wa hizo zinazovuja Hadi sasa.

Kuna haja ya wenye chama kuipitia ilani yao upya waone kama utekelezwaji wa haya upo na ulinadiwa wakati wa kampeni au kama ni maagizo aliyopewa na Wenye NCHI wakati anaapishwa kushika hatamu.

Ni nani Stan katabalo wa Sasa ajitoe mhanga tujue nini kinaendelea huko KWA kina!!?

Niwaombe whistle blowers waieleze Dunia kinachojiri!

Naizika RASMI awamu hii kwa Damu inayomwagika Ngoro ngoro kama inavoripotiwa KWA siri humu jukwaani na nawalaani wote wanaoficha aibu hiyo!

Mungu ibariki TANZANIA

Mungu libariki jeshi letu lipe akili ya kutotumikishwa vibaya kuua ndugu zao KWA maslahi ya ukoo na manufaa ya wachache!

Ujumbe huu uwafikie wazalendo wenye uwezo wa kufanya jambo na kujitoa KWA ajili ya ndugu zao.
 
Hii nchi sio yetu wote, ni ya familia ya watu wachache. Sie wengine titaendelea kubaki wapenzi wasindikizaji.
Mkuu

Ndivyo inavoonekana

Ni turufu ya mwisho yao kujineemesha milele kupitia maamuzi haya!!

Vyombo VYA usalama ni Watoto wetu kwanini wamwage damu za ndugu zao kwa kutii sauti ya mtu kisa katiba mbovu ambayo ilisha kataliwa na wananchi!!?

Kwanini wasiseme Basi tumewavumilia Sana kaeni pembeni kwanza tumewachoka Sana subirini tutengeneze katiba kwanza!!?

NAUMIA SANA
 
Hivi unaijua katiba ya nchi hii vizuri?

Kwa katiba hii unamtoaje Samia madarakani?

Kwa katiba hii ifikapo 2030 Samia anashindwaje kumuachia chi mtu anayemtaka?

Wewe mleta mada acha kujitekenya na kucheka.
 
Simba wa yuda

Aliunguruma tukanyuti wote

Nchi ina Beacon zake sio KILA Mtu anazijua!

Usibeze!
 
Sukuma gang katika ubora wake....sukuma gang huwa wanahisi tajiri akibanwa ndio masikini atapata afadhari ya maisha......
Akili zenu zimeishia kwa sukuma gang tu. Akili za kushikiwa na ghost wa twitter. Mjitambue.

Ardhi yetu inatolewa bure ili wanyama wa nchi yetu ambao ni urithi wetu wauawe hovyo na familia za kiarabu ili baadhi ya familia nchi hii waendelee kuneemeka.
 
Wakuu,

Awamu zote za serikali Ngorongoro haikuguswa kabisa!

Wamasai waliachwa kama urithi wa ikolojia ya asili kwa Watanzania.

Ngoro ngoro ilibaki kama utambulisho pekee asilia wa utamaduni wetu na tunu ya kujivunia ulimwenguni mwote.

Wahusika wameamua KUTUMIA udhaifu wa serikali ya awamu hii kukamilisha mchakato wao wa Muda mrefu na kumwangushia jumba bovu mama huyu.

Awamu hii ni HITIMISHO la kilele cha ufisadi na ubadhirifu mkubwa KABLA ya nyakati ngumu za kufunga mkanda zijazo katika kujenga Tanzania mpya.

Nalifananisha sakata hili na mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 KWA unyeti,usiri na ukimya wa Dunia ya vyombo VYA habari.

Sijajua anaeratibu uovu huu ni nani hasa!!na kwanini wako kimya hasa vyombo VYA ulinzi na usalama wa nchi yetu labda KWA sababu mkuu wa majeshi kastaafu na BADO mpya hajateuliwa Hadi Sasa!

Labda kuna juhudi za wanaume wa kweli nyuma ya pazia wanafuatilia sakata hili mimi sijui! Lakini inaumiza Sana kama kuna uhalisia wa hizo zinazovuja Hadi sasa.

Kuna haja ya wenye chama kuipitia ilani yao upya waone kama utekelezwaji wa haya upo na ulinadiwa wakati wa kampeni au kama ni maagizo aliyopewa na Wenye NCHI wakati anaapishwa kushika hatamu.

Ni nani Stan katabalo wa Sasa ajitoe mhanga tujue nini kinaendelea huko KWA kina!!?

Niwaombe whistle blowers waieleze Dunia kinachojiri!

Naizika RASMI awamu hii kwa Damu inayomwagika Ngoro ngoro kama inavoripotiwa KWA siri humu jukwaani na nawalaani wote wanaoficha aibu hiyo!

Mungu ibariki TANZANIA

Mungu libariki jeshi letu lipe akili ya kutotumikishwa vibaya kuua ndugu zao KWA maslahi ya ukoo na manufaa ya wachache!

Ujumbe huu uwafikie wazalendo wenye uwezo wa kufanya jambo na kujitoa KWA ajili ya ndugu zao.
Wewe mpuuzi yaani awamu ya 6 izikwe kwa kulinda maliasili za nchi dhidi ya wakenya?

Umerogwa wewe
 
Back
Top Bottom