Katiba mpya inabeba yote hayo au huna conceptual skills?
C ndio ahueni yenu nyie mboga mboga, Kama CDM hawana muelekeo.
Chama kife tu hikiC ndio ahueni yenu nyie mboga mboga, Kama CDM hawana muelekeo.
1) Makamu mwenyekiti kakimbia baada ya kuona chama hakieleweki.
Siamini aisee duh🙆🙆1) Makamu mwenyekiti kakimbia baada ya kuona chama hakieleweki.
2) Katibu mkuu wa sasa hajafikia hata robo ya yule waliemwita Dr mihogo.
3) Mwenyekiti alivuta mpunga mwaka 2015 akakodisha chama kwa Lowasa na sasa amelamba asali na kukielekeza chama kwenye kolongo kabisa.
So, what do you expect from Chadema now?
USHAURI:
Wale bavicha wanaoshinda mitandaoni kupambania chama, huku wakisubiri mwaka 2025 wateuliwe kugombea ubunge nawashauri watafute vibarua vya kuwapa ugali wao wa kila siku mapema, bila hivyo watakuja kujuta baadae.
Huu ndio ukweli mkuu, japo wengi huwa wanachukia tukiusemaSiamini aisee duh🙆🙆
Chama KILIHOKOSA muelekeo, hii inasadifu upeo wa akili yako ilipoishia.
Nafikiri umekosa cha kuandika kenge wewe hata hujui chama ambacho makini kuliko vyama vyote nchini,kama unalipwa posho na ccm waambie karibu posho zinasitishwa kwa kuwa 2025 chadema inashika dolaHuu ndio ukweli mkuu, japo wengi huwa wanachukia tukiusema
Povu jingi kutoka Machame kwa mmachame!Nafikiri umekosa cha kuandika kenge wewe hata hujui chama ambacho makini kuliko vyama vyote nchini,kama unalipwa posho na ccm waambie karibu posho zinasitishwa kwa kuwa 2025 chadema inashika dola
Una maana kile chama cha wana chukua chako mapema chenyewe kiko hai ama kimeshazikwa🤔.
Tumuulize huyu anaesema hadharani kuwa yeye ni CCM. Japo hakumalizia kuwa yeye ni CCM B, C au A.Nafikiri umekosa cha kuandika kenge wewe hata hujui chama ambacho makini kuliko vyama vyote nchini,kama unalipwa posho na ccm waambie karibu posho zinasitishwa kwa kuwa 2025 chadema inashika dola
MAGUFULI alitaka hivyo hivyo AKAFA yeye kudadadeki[emoji1787][emoji1787]Chama kife tu hiki
USSR