Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,689
- 3,265
Duniani kote hakuna nchi imewahi kuendelea kwa kufuata demokrasia. Wazungu walitutupia demokrasia na kutulazimisha kuifuata si kwamba wanatupenda sana, ni kuwa walitaka tupate mkwamo tusiendeleee.
India imeachwa pakubwa sana na China kwa maendeleo licha ya India kuitwa 'World's largest democracy."
Demokrasia ni anasa ya watu walioendelea na si wanaotafuta maendeleo. Na hata hao walioendelea utaona kuwa demokrasia inarudisha nyuma maendeleo yao polepole.
Kujiita chama cha "demokrasia na maendeleo," hakuingii akilini kwa sababu mambo hayo hayakai pamoja. CDM wabadili jina.