Katika hotuba yake ya jana Rais wetu Mama Samia alisema, jambo linalomuumiza na kufanya mabadilko kila mara ni ugomvi wa Mawaziri na Makatibu Wakuu au Makatibu Wakuu na Naibu Mawaziri au Mawaziri...
Inasemekana Mchakato utakuwa kwa wananchi Wenyewe na Siyo vyama vya siasa
Wapo pia baadhi ya Wanaccm katika movement Hiyo ila mnyetishaji kasema wakati wa kuwatambua bado
Endelea kunywa mtori...
Wanabodi,
Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia...
Binafsi nafatilia mahojiano na mwenendo mzima wa matukio yanayohusiana na shambulio la kujeruhiwa kwa risasi Tundu Lissu.
Mpaka sasa nnaamini kuwa Serikali ya Mheshiwa Rais wa wanyonge Dr. John...
Mabilioni ya pesa za umma mnatafuna.
Mnajenga madarasa hewa kwa tril 1.3
Watoto wanafariki wakivuka mto kwa mtumbwi kwenda shule. Mnakula pesa.
Hamjali maisha ya wananchi mpaka wafe.
========...
Habari ndugu Wana jukwaa..
Kimbunga Cha pangua pangua ya mh.Rais Dk Samia kimesomba uongozi wote wa Juu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuanzia aliyekuwa Waziri wa Wizara na Makatibu Wakuu wake...
Mama nakupongeza kwa kufanya kazi kuondoa kero zinazowakabidhi Watanzania, Mungu akubariki sana.
Kuondoa uozo hapo Utumishi haikua kazi ndogo, viongozi hapo Utumishi baada ya Magufuli kuingia...
Wakati umefika kwa chama kikongwe Afrika kubadilika. Ni miaka 61 TANU/CCM kipo madarakani huku ikitumia mifumo ya chama kimoja cha siasa wakati nchi ipo kwenye Mfumo wa Vyama Vingi.
CCM na...
Rais John Pombe Magufuli amteua Bw. Athumani Selemani Mbuttuka kuwa Msajili wa Hazina.
Uteuzi wa Bw. Mbuttuka umeanza leo Juni 6, 2018.
Kabla ya uteuzi huu Bw. Mbuttuka alikuwa Naibu Mkaguzi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 27 Februari, 2023
Dr. Tulia Ackson
Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
Mheshimiwa Jesca Msabatavangu aliyeshinda kwa kishindo mwaka 2020, leo ametikisa bunge kwa kutetea ununuzi wa nguzo kutoka Iringa badala ya nje ya nchi.
Huu hapa ndio mchango wake .
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Kwa muda wa miaka mingi kumekuwa na tuhuma nyingi zinazomuhusu huyu jamaa. Wengi wakidai kwamba...
Naomba nitangulize pongezi kwa Waziri wa maji Jumaa Aweso kwa kuwa site kila mahali stahiki japo anazidiwa na UCHAWA ZAIDI NA KUJIKOMBA MNO KWA MH RAIS KAMA VILI HAJIAMINI KWA NAFASI YAKE.
Pili...
Rais Samia amesema sababu nyingine ya kupangua wizara ni kwa sababu ya kutoelewana kati ya mawaziri na makatibu wakuu na manaibu waziri. Hali hiyo imeonesha kuwa kazi hazifanyiki.
Rais amesema...
Nchi hii hakika ina vioja. Wabunge wametemwa na chama chao kwa kugushi na kujiteua viti maalum.
Ajabu mwaka wa tatu umeanza na kesi yao ndio kwanza mbichi serikali ndio mtetezi kwa bunge...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya shilingi bilioni 20 kwa ajili ya kuwezesha na kukuza shughuli za ufugaji wa Samaki kwa njia ya vizimba miongoni...
Nadhani kwa wenye akili kubwa watakuwa wameelewa kwanini suala la upatikanaji wa tume huru ya uchaguzi linasuasua huku muda wa kufanya uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ukikaribia...
Kwako ndugu Waziri mwenye dhamana ya mambo ya maji.
Iko hivi:
Bili ambazo watu wa DAWASA wanawatumia wananchi siyo bili za kweli, haziakisi matumizi halisi ya maji ya wateja. Ni bili za kupikwa...
Mojawapo ya mambo ambayo hawa waitwao ‘viongozi’ wetu wanayaweza ni kuteua na kutengua watu wa kuzijaza nafasi za uongozi hususan serikalini na kwenye idara zake.
Na jambo kubwa linalonichefua...
Habari jf ,kwanza niweke Wazi Mimi ni mfuasi wa lile kundi linalosemwa vibaya la Hayati JPM na msimamo wangu utabaki pale pale ndiye best president to rule this country .
CHADEMA kiuhalisia...