Naona kila kukicha mabango na vipeperushi vya Mapokezi ya vinazidi kuongezeka mitaani, kwani kuna nini?
Mbona kwa Tundu Antipas Lissu haikuwa Hivi? Au ndiye anayeandaliwa na chama kubeba mikoba?
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA mh Tundu Antipas Lissu amesema yeye kugombea Urais wa JMT ni hadi ipatikane Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.
Kimsingi CHADEMA tutaonekana Watu wa ajabu sana kama...
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ameendeleza sera yake ya kusema ukweli na kuwaanika wanafiki wote wanaotetea mafisadi badala ya kutetea masilahi ya wananchi.
Rais Mwinyi...
Hoja ya serikari za majimbo inayopigiwa chapuo na CHADEMA haina tija.Tanzania ina ukubwa sawa na jimbo la Texas. Kuwa na majimbo yenye magavana, mabunge na mabaraza ya mawaziri ni kuongeza gharama...
Sijatumwa na mtajwa hapo juu, wala sio shabiki wa mtu yoyote kwenye siasa.
Sema kutokana na uchapakazi wake, uadilifu na uongozi uliotukuka toka akiwa Hanang na Tanga vimenifanya nione kuwa ni...
Kila masika na mbu wake huo ni msemo wa wahenga.
Kwa sasa wale wote waliopatiwa ubunge kama zawadi ya upendo kutoka kwa wenye mamlaka waanze kuaga.
Baada ya angalau mbinyo wa kisiasa kupunguzwa...
Mahakama moja nchini Ufaransa, imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa kupinga mradi wa Kampuni ya TotalEnergies wa uchimbaji na usafirishaji wa mafuta nchini Uganda na Tanzania.
Kesi hiyo...
Taarifa mpya inaonyesha kwamba huko Arusha tayari Watu wa mataifa mbali mbali wameanza kuwasili, kwa lengo la kumpokea Nabii wa Mungu, Godbless Lema, anayewasili kesho kutokea Canada, Nchi...
Habari Wadau,
Mjumbe wa CC ya CCM Stephen Wassira amesema hoja ya kuwa na Serikali ya Majimbo inayoshadidiwa na CHADEMA haina tija kwa sababu itaongeza gharaza za uendeshaji wa Serikali na kuwa...
Nimeshangazwa kama si kugutushwa na sababu ambazo Mama Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alizotoa kwa reshuffle ya mwisho wa wiki iliyopita. Sababu kubwa inasemekana viongozi katika...
1. MHE. SAMIA SULUHU HASSAN
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
2. MHE. DKT. PHILIP ISDOR MPANGO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
3. MHE. DKT. HUSSEIN ALI MWINYI
Rais wa...
Wakuu, Natanguliza Salamu na baada ya hapo naingia moja kwa moja kwenye hoja .
Kama tulivyosema awali, mchana huu ni zamu ya Njombe Mjini ambako Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Mwamba mwenyewe...
Balozi Dkt. Chana asisitiza ushirikiano kufikia malengo ya Serikali
Na Eleuteri Mangi-WUSM, Dodoma
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewasisitiza Wajumbe wa...
Hiyo ndio hali halisi niliyoiona kwa CHADEMA, misafara yao wanapoingia mijini hupokelewa na mapikipiki na kila aina ya mikwara wenzao CCM wanajijenga vijijini huko kuna vikosi vinapita!
Ninyi...
Kwanza nimpongeze Mh Rais Samia Suluhu Hassan na Mwenyezi Mungu azidi kumpa nguvu na hekima ktk utendaji wake.
Kwamba ameteua Mpagani, Mwislam, mkristo au Myahudi hiyo sio issue wala kesi.
Cha...
Habari ndiyo hii wadau, Iramba hakuna maji salama, umeme hakuna vijiji vingi, barabara ni balaa, umaskini unatisha, Mbolea ya Ruzuku jimboni kwake ni hovyo haina viwango na mwaka huu Wakulima huko...
Mzee amezungumzia kuhusu makodi Makubwa yanayowatesa Watanzania.
Uongo wa kikosi kazi cha Samia kubwa kimejaa wazee sana kama yeye hawana jipya walikuwa kwenye mfumo uliowatesa watanzania hivyo...
Takriban Miaka 3 iliyopita Rais aliyekuwa madarakani (hayati JPM) alitembelea gereza la Butimba, Mwanza kwa ajili ya kukagua maendeleo katika gereza hilo. Naam alijitokeza kijana mmoja ambaye...
Kila nikimsikia mwana CHADEMA simsikii akinipa mikakati yenu ya kuitoa (kuing'oa) CCM madarakani bali nasikia tu wakijisifia kujaza watu (nyomi) katika mikutano yao huko mkoani/mikoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.