Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe juzi aliutangazia Umma kwamba Naibu Waziri pale Tamisemi David Silinde ni mtekaji na amewasababishia wananchi kadhaa vilema vya kudumu Kabla Jimbi hajawika David...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
KWENYE UBEPARI SIO JUKUMU LA SERIKALI KULINDA MAADILI YA MTOTO WAKO. Anaandika, Robert Heriel. Akiwa teja shauri yako. Akiwa Shoga utajua mwenyewe na toto lako. Akiwa litoto lilevi na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwenye hii mikutano ya hadhara inayopigwa na Chadema kanda ya Nyasa, kuna mambo mengi sana ya kusisimua yanatokea lakini huwa hayaripotiwi, kuanzia sasa tutajitahidi kuwaleteeni kila kitu ili...
29 Reactions
66 Replies
4K Views
Kwa Mujibu wa Ratiba ya Mikutano ya hadhara iliyotangazwa na Chadema kanda ya Nyasa , Leo ni zamu ya Tunduma. Labda kwa wageni na wenyeji wasahaulifu ni kwamba , Jimbo la Tunduma ni miongoni mwa...
11 Reactions
119 Replies
6K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa naona kama CHADEMA kikiwa ni chama cha kimjinimjini sana. CHADEMA sijawahi kukisikia kikitetea mkulima wa Tanzania kwa nguvu nyingi, sijawahi kukiona kikitumia muda mrefu...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Hakika Pamoja na MADUDU MENGI katika WIZARA hizi Mbili yaani WIZARA ya FEDHA na WIZARA ya NISHATI hazijaguswa hata KIDOGO na Mabadiliko ya Mawaziri na Manaibu wao. Wananchi tulitegemea ili kuleta...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Wiki iliyopita nilitazama taarifa moja ambao nainukuu hapa ilivyoanza; “Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo wahakikishe...
0 Reactions
5 Replies
715 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Rose Tweve ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Mufindi, Kata ya Saohill ambapo ameshiriki kikao cha Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Upendo...
0 Reactions
1 Replies
851 Views
Kilichomponza Basila Mwanukuzi kupoteza nafasi ya U-DC Korogwe hiki hapa
4 Reactions
16 Replies
5K Views
Binafsi sina wivu wa aina yoyote na kwa yeyote. Swali kubwa nijiulizalo baada ya kuona au kuskia teuzi za hapa na pale...Ni je, tunaowateua wamejiandaa kushika hizi nyadhifa? Ubamteua mtu kuwa...
3 Reactions
9 Replies
501 Views
Duniani kote serikali zote hazitaki watu wajue ukweli! Kwasababu "Ukweli huwaweka watu huru" Duniani kote viongozi huapa kuficha siri, Hushika misaafu na biblia kutangaza kuwa wataficha siri...
27 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakati vyama vingine vya siasa vikipora majengo ya Umma na kuyafanya mali zao , ama kurithishwa majengo ya viongozi waliokufa na kuyapiga rangi , Hali ni tofauti kwa Chama cha Demokrasia na...
17 Reactions
62 Replies
3K Views
Kutokana na Uwepo wa barabara nzuri toka Mbeya Sumbawanga mpaka Mpanda Mji wa Sumbawanga umekuwa na Wageni wengi kwa sasa na Miongoni mwa hao Wageni ni RAIA wa Kigeni wenye ASILI ta KISOMALI...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
25 February 2023 Bukoba, Tanzania MKUTANO WA HADHARA WA CHADEMA TOKA KIWANJA CHA MAYUNGA BUKOBA Mbunge wa roho za watu katika jimbo la mioyo ya wakazi wa Bukoba mjini afunguka alivyotekwa na...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Saalamu Mnapambania chama cha mapinduzi usiku na mchana Tena kwa moyo na akili zenu zote msijali. Mnajitahidi kuyasema mazuri ya serikali kwa wananchi kwa nguvu na maarifa yenu yote ni kweli...
1 Reactions
12 Replies
744 Views
Nimemsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tanga sakata la ajali ya Costa iliyoua watu 17. Kwa kumsikiliza Tu unagundua Hana maarifa. Kama si zao la awamu ya tano basi ana vimelea vya Wakuu wa Mikoa wa awamu...
38 Reactions
105 Replies
9K Views
Baada ya kutengulia Basila Mwanukuzi alisema haya.... - Basilla Mwanukuzi: Wakweli hawatakiwi nchini. Uongozi wangu ni kuweka maslahi ya wananchi mbele hata ikibidi kukosa cheo 1. Tickson Nzunda...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Karibu Sana Songwe. Fursa kibao ni kujipanga tu. Madini na Border mtu hukosi 5m Kwa siku, ni mwendo wa kulamba asali tu. NB: Japo naona kama unaelekezewa njia ya kuondoka kiustaarabu.
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa Mateso waliopitishwa wana Tunduma sikutegemea kama kuna Chadema tena, Lakini cha kushangaza watu wamefurika kwa shangwe kwenye mkutano wa chadema, Furaha na nderamo kama vile watu wao...
23 Reactions
50 Replies
3K Views
Ni kipindi kirefu sana sijamuona, nafikiri mara ya mwisho kumuona ni kwenye kikao Cha kamati kuu kilichoteua sekretarieti mpya mwezi wa kwanza mpaka leo sijamuona wala kumsikia popote na sio...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom