Nini Kimepelekea Kupanguliwa Kwa Uongozi Wote wa Juu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,070
49,752
Habari ndugu Wana jukwaa..

Kimbunga Cha pangua pangua ya mh.Rais Dk Samia kimesomba uongozi wote wa Juu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuanzia aliyekuwa Waziri wa Wizara na Makatibu Wakuu wake wote.

Amepona aliyekuwa Naibu Waziri ambae ameteuliwa kuwa Waziri.

Swali,kulikuwa na nini hasa kilichopelekea Kuondolewa Kwa Uongozi mzima wa Juu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi.

Walioondolewa Hawa hapa👇
wizaramifugouvuvi_1677492125198284.jpg

Walioteuliwa Hawa hapa 👇
wizaramifugouvuvi_1677492805070566.jpg
wizaramifugouvuvi_1677492862959777.jpg
wizaramifugouvuvi_1677492892956161.jpg
wizaramifugouvuvi_1677492836733971.jpg
 
Hao watu ni wazembe wa wazi jamani watu wanapiga pesa Sanaa na wizi wa wazi kwenye uvuvi na mifugo serikali KAZI kuongeza tozo za mifugo ila ufanisi hamna,wale wasimamizi wa mifugo na uvuvi na mafisaadi wa kutupwa ukipewa kitengo hukooo wewe kibongobongo umeula utakula rushwaa maana hakuna wa kufatilia kabisa
Mi naona Bora wametoka

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tangu usikie ile habari ya MABILIONI YA SAMIA KWA WAVUVI mwezi agosti 2022, umeona kazi yeyote kwa wavuvi ikifanyika hadi sasa?

Hao jamaa walishiriki kutufanyia wavuvi utapeli, wameweka pesa zetu kwenye FIXED ACCOUNT YA MIEZI 6 ILIWAPATE RIBA, hivi karibuni ndio walikuwa kwenye mpango wa kuzitoa hizo pesa baada ya kuvuna RIBA kwa BAHATI MBAYA MAMBO YAMEKOROGEKA DAKIKA ZA MWISHO..

Ndiyo imekuwa hivyo mjomba

Ukuzaji viumbe maji - Mifugo & Uvuvi.PNG
 
View attachment 2531614
Mi nadeal na mifugo naona serikali inavyopteza mapato watendaji wanakula rushwaa Sanaa yaani jamani dahh...inatia huzuni na hasira mnoo...hii nchi jamani dahh
Ngoja mashimba apumzike mi sioni Cha maana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Habari ndugu Wana jukwaa..

Kimbunga Cha pangua pangua ya mh.Rais Dk Samia kimesomba uongozi wote wa Juu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuanzia aliyekuwa Waziri wa Wizara na Makatibu Wakuu wake wote.

Amepona aliyekuwa Naibu Waziri ambae ameteuliwa kuwa Waziri.

Swali,kulikuwa na nini hasa kilichopelekea Kuondolewa Kwa Uongozi mzima wa Juu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi.

Walioondolewa Hawa hapa👇
View attachment 2531513

Walioteuliwa Hawa hapa 👇
View attachment 2531533View attachment 2531534View attachment 2531535View attachment 2531536
Huenda hii ndio sababu..
 
Habari ndugu Wana jukwaa..

Kimbunga Cha pangua pangua ya mh.Rais Dk Samia kimesomba uongozi wote wa Juu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuanzia aliyekuwa Waziri wa Wizara na Makatibu Wakuu wake wote.

Amepona aliyekuwa Naibu Waziri ambae ameteuliwa kuwa Waziri.

Swali,kulikuwa na nini hasa kilichopelekea Kuondolewa Kwa Uongozi mzima wa Juu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi.

Walioondolewa Hawa hapa
View attachment 2531513

Walioteuliwa Hawa hapa
View attachment 2531533View attachment 2531534View attachment 2531535View attachment 2531536

Udokozi
 
Back
Top Bottom