Mwaaka 2016 mpaka 2020 Tanzania iligubikwa na makelele ya Tundu Lisu aloyejiona yeye tu ndiyo mwenye haki ya kumshauri rais wa nchi wa wakati huo na ni lazima ushauri wake ufuatwe!
Hata hivyo...
Naona kwa wapenda maendeleo hawa wabunge ambao hawana mvuto wala kupedwa kisiasa ndiyo wanakuwa tatizo.
Zungu mfano hana tatizo lolote na mabadiliko ya katiba wala nchi kwasababu ana mvuto na...
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Hoja iliyotolewa kipindi serikali inasitisha utaratibu wa kutangaza shule bora kwenye matokeo ya mitihani ya taifa inaweza ikawa mwiba kwenye utaratibu...
TISS ya Diwani Athumani ndio walau ilitulia, kutekana kukaisha, mambo ya hovyo hovyo yakapungua, hata Jiwe naye akapunguza machachari.
Tofauti na Ile ya kipilimba na wenzake walioshughulika...
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.
Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekuwa tatizo sana kwa...
Kuna story inasambaa kwenye ile channel yetu ya utalii na hata UTV juu ya mzee mmoja albino aliyebadilika na kuwa kiboko, mzee chimombo ambaye alibadilika yeye na mkewe wakawa viboko.
Huu ni...
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na CHADEMA Kanda ya Nyasa ni kwamba, leo tarehe 27/2/2023 kutafanyika Mkutano mkubwa wa hadhara Mjini Njombe.
Lakini kama ilivyo desturi ni kwamba, CHADEMA...
Rais Samia amesema Waziri mmoja amedondoshwa kwa kuwa ni kawaida kwenye safari kuna ajali zinatokea. Amesema hayo katika hotuba yake baada ya kuwaapisha wateule wake aliowateua hivi karibuni...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe amelipongeza Jeshi la Polisi nchini kwa kusimamia mikutano ya hadhara kwa amani na haki tangu iliporuhusiwa na Rais...
Niseme ukweli hiki chama kiko moyoni
Nilikuwa chadema active 2005-2015 lowasa aliposhindwa niliumia sana
Nowdays nimekikita kwenye biashara so hapa kati mwendazake alivyokuwa anafutilia mbali...
Ukifuatilia Hotuba za Freeman Mbowe, mh Othman Masoud na mzee Duni Haji utagundua Mbowe hata hajui wanachoridhiana na CCM
Mbowe anasema tunahitaji Katiba Mpya bila kuainisha mapungufu ya Msingi...
Habari za jioni wana JF?
Kuna kitu katika teuzi na reshuffle za jana ambacho naona media na wana social media hawajaweza kukikamata( ku capture).
Kitu chenyewe ni uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu...
Wazee Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wameiomba Serikali kuangalia namna ya kufungua dirisha la wazee katika Hospitali ya Kiteto ili wazee waweze kupata huduma ya Afya kikamilifu.
Imeelezwa kuwa...
Sijawawahi sikia Mama akiongelea suala la ufisadi hata ile ya Crocodile tears, ile ya kuzuga unaumizwa na jambo fulani kumbe moyoni unalifurahia.
Kama Mkuu wa nchi kuna vitu anapaswa kuvikemea...
Anaandika, Robert Heriel
Sikuwa mshabiki wa Magufuli Kutokana na namna alivyokuwa anaongoza, sisemi Kuwa Magufuli hakuwa na mambo Mema aliyoyafanya, yapo mengi mazuri Sana hasa ya miundombinu...
Ndugu zangu watanzania,
Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa ukimsikiliza vizuri Rais Samia maneno yake, mikakati yake,matendo Yake, kauli zake, mambo aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanyia...
Hii ndio taarifa mpya ya Jioni hii kutoka Ubaruku Mbarali, unaambiwa kote kule ilikopita Chadema, Tunduma, Mbozi, Mbeya mjini, Kyela na kwingineko umati Uliojitokeza Mbarali hauna mfano.
Freeman...
Ndugu zangu wana JF, majibu ya PM Kassim Majaliwa yanashangaza sana na kutia ukakasi. Majibu aliyotoa kwa mbunge wa Konde kuwa kuongeza mishahara huongez gharama za maisha ni fedheha kubwa kwa...
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza chanzo na jinsi ya kukabiliana na mgao wa maji jijini Dar es Salaam.
Rais anaeleza chanzo cha upungufu wa maji Dar ni kupungua kwa kina cha maji katika Mto Ruvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.