Mo Dewji Aipaisha Tanzania Kimataifa on CNN "Unfortunately We Don't Have The Right Framework & Policies to Deal With Large Investment in Agricalture!"

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,497
113,592
Wanabodi,

Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are we still importing food, edible oil?!, akapiga na nyundo "unfortunately we don't have the right framework and policies to deal with large investment in agriculture" . Wito kwa serikali yetu, tusisubiri tuu kuwa reactive, sometimes we have to be pro active, Bashe aisikilize hii interview, amuite Dewji na kumpeleka kwa Mama, Dewji amsaidie Bashe, Mama na Watanzania, to formulate hizo "the right framework and policies to deal with large investment in agriculture", halafu tukishindwa ku implement, ndipo awaite CNN na kuwaeleza hayo!.

Huyu jamaa apewe kila aina ya ushirikiano na serikali yetu, ili afanikishe ndoto zake, na zikikamilika, atakuwa ndio tajiri No. 1 Tanzania na No. 2 Africa nyuma ya Aliko Dangote!.
Hongera Sana Mo Dewji!
Paskali
 
Watu mbona mnazungumza kama mmepagawa? Huyu Mo anaelipa mishahara laki na 50 ..?amsaidie mama kwenye nini.?

Huyu Mo ambae mpaka Leo Simba wanauliza bilioni 20 ziko wapi?

Mo huyu anae kopi bidhaa za wenzake Hadi anashtakiwa na kushindwa Kesi mahakamani??

Mo ni mchuuuzi Tu kama sio dalalali...
Mpigieni debe aendelee kuwachuuza..
 
Ume summarise vixuri sana mkuu. Big up
Jamaa anaongea kimikakati hasa, hata Aliko Dangote haongei as strategic as this jamaa
 
Wanabodi,

Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are we still importing food, edible oil?!, akapiga na nyundo "unfortunately we don't have the right framework and policies to deal with large investment in agriculture" . Wito kwa serikali yetu, tusisubiri tuu kuwa reactive, sometimes we have to be pro active, Bashe aisikilize hii interview, amuite Dewji na kumpeleka kwa Mama, Dewji amsaidie Bashe, Mama na Watanzania, to formulate hizo "the right framework and policies to deal with large investment in agriculture", halafu tukishindwa ku implement, ndipo awaite CNN na kuwaeleza hayo!.

Huyu jamaa apewe kila aina ya ushirikiano na serikali yetu, ili afanikishe ndoto zake, na zikikamilika, atakuwa ndio tajiri No. 1 Tanzania na No. 2 Africa nyuma ya Aliko Dangote!.
Hongera Sana Mo Dewji!
Paskali

Unamjua vizuri Au ndio uchawa?
 
Watu mbona mnazungumza kama mmepagawa? Huyu Mo anaelipa mishahara laki na 50 ..?amsaidie mama kwenye nini.?

Huyu Mo ambae mpaka Leo Simba wanauliza bilioni 20 ziko wapi?

Mo huyu anae kopi bidhaa za wenzake Hadi anashtakiwa na kushindwa Kesi mahakamani??

Mo ni mchuuuzi Tu kama sio dalalali...
Mpigieni debe aendelee kuwachuuza..
Anayoyafanya Mo yote ndio haswa maisha na tabia za matajiri wakubwa.
Nitajie tajiri mmoja anayelipa mishahara mizuri lakini asiwe MZUNGU.
 
Tatizo products zake ni za kiwango cha chini sana na photocopy ya ubunifu wa makampuni mengine.

Kwa mfano MO matchbox hamna viberiti pale na photocopy ya Tinga matchbox made in Kenya, MO B29 hamna sabuni pale na ni photocopy ya B29 halisi, Mo energy drink amekopy toka azam, Safi cooking oil, Taifa powder soap ameiga toka NETAX na mbaya zaidi anaiga hadi vifungashio na rangi
 
Watu mbona mnazungumza kama mmepagawa? Huyu Mo anaelipa mishahara laki na 50 ..?amsaidie mama kwenye nini.?

Huyu Mo ambae mpaka Leo Simba wanauliza bilioni 20 ziko wapi?

Mo huyu anae kopi bidhaa za wenzake Hadi anashtakiwa na kushindwa Kesi mahakamani??

Mo ni mchuuuzi Tu kama sio dalalali...
Mpigieni debe aendelee kuwachuuza..
Ni kweli mkuu usemalo, sema ni smart with capital ambayo 95% ya business people hawana.
Hakuwa na haja ya ku reinvent the wheel wakat bado kuna gap kubwa sana sokoni.
Anakwambia the largest sale comes from Energy drink... tena ya plastic... ujue bongo noma sana.
Hata hizo katani hayo mashamba ni kama alipewa bure yakiwa na full grown sisal..

Sijui mwamba anataka asaidiwe zaid kwenye lipi
 
Tatizo products zake ni za kiwango cha chini sana na photocopy ya ubunifu wa makampuni mengine.

Kwa mfano MO matchbox hamna viberiti pale na photocopy ya Tinga matchbox made in Kenya, MO B29 hamna sabuni pale na ni photocopy ya B29 halisi, Mo energy drink amekopy toka azam, Safi cooking oil, Taifa powder soap ameiga toka NETAX na mbaya zaidi anaiga hadi vifungashio na rangi
Iga hata kimoja Basi ama ubuni kidogo ili pride yako iwe juu Kama sio ego. Unaongea kumshusha ego Naona . Human behaviors and saikolojia
 
Watu mbona mnazungumza kama mmepagawa? Huyu Mo anaelipa mishahara laki na 50 ..?amsaidie mama kwenye nini.?

Huyu Mo ambae mpaka Leo Simba wanauliza bilioni 20 ziko wapi?

Mo huyu anae kopi bidhaa za wenzake Hadi anashtakiwa na kushindwa Kesi mahakamani??

Mo ni mchuuuzi Tu kama sio dalalali...
Mpigieni debe aendelee kuwachuuza..
Nimestaajabu hapo Mo anapolinganishwa na Coca-cola, kwa idadi ya products/brands.
 
Watu mbona mnazungumza kama mmepagawa? Huyu Mo anaelipa mishahara laki na 50 ..?amsaidie mama kwenye nini.?

Huyu Mo ambae mpaka Leo Simba wanauliza bilioni 20 ziko wapi?

Mo huyu anae kopi bidhaa za wenzake Hadi anashtakiwa na kushindwa Kesi mahakamani??

Mo ni mchuuuzi Tu kama sio dalalali...
Mpigieni debe aendelee kuwachuuza..
Mo ni mooooh tapeli kama matapeli wengine nasubilia hoja ya Haji manara

USSR
 
Wanabodi,

Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are we still importing food, edible oil?!, akapiga na nyundo "unfortunately we don't have the right framework and policies to deal with large investment in agriculture" . Wito kwa serikali yetu, tusisubiri tuu kuwa reactive, sometimes we have to be pro active, Bashe aisikilize hii interview, amuite Dewji na kumpeleka kwa Mama, Dewji amsaidie Bashe, Mama na Watanzania, to formulate hizo "the right framework and policies to deal with large investment in agriculture", halafu tukishindwa ku implement, ndipo awaite CNN na kuwaeleza hayo!.

Huyu jamaa apewe kila aina ya ushirikiano na serikali yetu, ili afanikishe ndoto zake, na zikikamilika, atakuwa ndio tajiri No. 1 Tanzania na No. 2 Africa nyuma ya Aliko Dangote!.
Hongera Sana Mo Dewji!
Paskali
Mkuu Pascal, umemsifia sana Mo, nijambo jema na anastahili, lakini.
umeshindwa hata kuwalaani wale waliomfanyia tukio la kumteka tajiri no1, na kumvisha kipande cha khanga, na hadi leo hakuna kesi ya maana iliyofunguliwa, zaidi ya mapicha picha ya Mzee Siro na Mambosasa,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
There is more to it than what met the eyes
P
 
Back
Top Bottom