Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani alikuta nchi iko katika hali mbaya ya kisiasa lakini aliamua kuunda nguzo 4 (4R) ambazo zitamsaidia katika kuiongoza Tanzania ambazo ni
Reconcilation...
Nyumba hii imekuwa ikitumiwa na wakuu wa wilaya wote waliopita.
Inashangaza Deudedith Katwale baada ya kuteuliwa ameikataa.
Sasa serikali inalipa pesa nyingi kila Mwezi.
Kama ni ishu ya...
Wakuu kumekua na barua inayosambaa ikisemekana inapongeza juhudi za Samia na pia kukosoa Chadema kupokea ruzuku takribani million 800!!
Kwenye kutafuta ukweli wa mambo, ACT wenyewe wamekanusha...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametoa kauli kuhusu taarifa za aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Willibrod Peter Slaa kudaiwa kuwa mbioni kurejea kwenye chama hicho:
“Chama chetu ni...
Nimesikitishwa sana na hawa vijana wa Bodaboda Arusha kukubali kutumika kisiasa kupambana na kauli zenye kuwapambania maisha bora zaidi.
Tuwaulize tuu, kwa hiyo kazi ya bodaboda kwao wanaiona ni...
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze Wabunge wenye mbwembwe na majivuno wa CCM wamekuwa wakitokea Kwenye Majimbo maskini sana ambayo baadhi ya Wananchi Wanaishi Kwenye Nyumba za udongo yaani mbavu za...
Serikali iliahidi kufika Novemba 2019 reli ya kiwango cha kati kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro ingekuwa imekamilika na kuanza safari ila hadi sasa hakuna maendeleo yoyote, ujenzi haujafika...
Wanabodi,
Chadema ilijikwaa, ikaanguka, ikaangalia tuu pale ilipoangukia, ikainuka, ikaendelea na safari, bila kuangalia ilipojikwa, sasa imejikwaa tena pale pale, Ila bado haijaanguka, hivyo...
Kumuelewa Lema unahitaji kuwa na akili kubwa sana, Shida ya hii nchi swala kuambiana ukweli ni tatizo sana, Leo hii kuna uharibifu mkubwa mno wa Mazingira ila hakuna hata kiongozi mmoja ana...
Hakika nimefurahishwa sana jinsi Rais Samia anavyofanya siasa zake. Hakika huyu mama anaijua siasa sana kuliko mtangulizi wake, hayati Rais Magufuli.
Kitendo cha kukubali kufanya maridhiano na...
Mkutano ulikuwa umeitishwa na chama cha siasa cha TLP maarufu kama majogoo leo kuwachagua viongozi wa juu ikiwemo mwenyekiti wa kitaifa umeshindwa kuchagua baada ya vurugu kuzuka kati ya makundi...
Inasikitisha sana kuona Chadema wanakula matapishi kama tulivyozoea.
Walisema chochote kilichotokana na uchaguzi wa 2020 ni haramu ikiwemo ruzuku.
Sasa wanalamba asali ya mama wanapokea ruzuku...
Kama Mzazi, ninaomba Watanzania tuliangalie kwa umakini hili suala la Shule Binafsi kulazimisha watoto kuishi Bwenini (Boarding) kwa kisingizio cha kujiandaa na Mitihani ya Taifa.
Siku hizi...
Mahakama Kuu ya Tanzania imeliamuru gazeti The Citizen kumlipa fidia ya shilingi bilioni mbili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu kwa kuchapisha habari...
Wakuu,
Kwakuwa suala la kuwakilisha wananchi sio la mtu mmoja, na wenye sifa ni wengi hasa kati zama hizi ambazo wasomi ni wengi,
Kwakuwa matatizo ya jimbo husika yanajulikana hivyo sio kwamba...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan
ZIPO kila dalili kwamba Dkt. Samia Suluhu Hassan, atagombea nafasi ya urais anayoishikilia sasa katika uchaguzi mkuu ujao – miaka...
Natafakari tu;
Viongozi wa ACT Wazalendo wangekimbia nchi baada ya uchaguzi!
Viongozi wa ACT Wazalendo wangerudishwa nchini kwa Msaada wa Ikulu (kufuta Kesi).
Viongozi wa ACT Wazalendo wangelipwa...
Leo nimekutana na baadhi ya video za John Pombe Magufuli zikiwa zinapostiwa kwenye akaunti za youtube za Spain, India, peru na Waarabu kweli kweli huyu mwamba alikuwa ana fatilia na watu wengi...
Historia ni nini?
- Historia ni somo lihusulo mambo/matukio yaliyopita[ kale ], yaliyopo na yajayo.
Kabla hatujawatupia mizigo yote ya lawama Chama cha Mapinduzi [CCM] kwa huu umasikini wa taifa...
"Uongozi wa Chadema,kuweni wawazi kwa wafuasi na wanachama wenu!"....
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ndio yenye jukumu la kugawa ruzuku ya kila mwezi kwa vyama vya siasa vyenye sifa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.