John Pombe Magufuli was one of the loved president in The world

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Leo nimekutana na baadhi ya video za John Pombe Magufuli zikiwa zinapostiwa kwenye akaunti za youtube za Spain, India, peru na Waarabu kweli kweli huyu mwamba alikuwa ana fatilia na watu wengi duniani.

Video zake pekee kwenye akaunti Izo ndo zilikuwa zinafikisha viewers 1M na wengine 2 M.

Kipindi cha John Pombe Magufuli hotuba zake zilifatiliwa na watu mbali mbali kutoka katika mataifa mbali mbali duniani

Na umaarufu wa John Pombe Magufuli uliongezeka kipindi kile cha covid-19 watu kutoka mataifa mbali mbali ambao walikuwa wanakataa chanjo ya corona na kupinga lock down walipenda kufatilia video za mwamba huyu ili wapate kufarijika moyo.

Kipindi cha john pombe magufuli umaarufu wa Tanzania uliongezeka saana.


Qui est John pombe magufuli

Hii ilitoka mwaka 2020 kwenye akaunti ya african's

Un héroe de Tanzania
Ilitoka mwaka 2020 kwenye akaunti ya sôvando

The africa hero John pombe magufuli
Hii ilitoka mwaka 2020 kwenye akaunti africa unit

تنزانيا كوفيد 19
Ilitoka mwaka 2021 kwenye akaunti ya arabic news

View attachment 2537375
 
Jidanganyeni. Hakuna mtu makini atampenda yule muhuni. Waspain wanafahamu kiswahili? Au umerogwa?
Hawa wa Tanzania au
Screenshot_20230304_125826_com.facebook.katana.jpg
 
Back
Top Bottom