Natafakari tu;
- Viongozi wa ACT Wazalendo wangekimbia nchi baada ya uchaguzi!
- Viongozi wa ACT Wazalendo wangerudishwa nchini kwa Msaada wa Ikulu (kufuta Kesi).
- Viongozi wa ACT Wazalendo wangelipwa mishahara yao na marupurupu (Tundu lissu).
- Zitto angeachiwa huru na siku hiyo hiyo kuonekana Ikulu.
- ACT Wazalendo wangepokea Ruzuku ambayo waliisusa kwa kisingizio Uchaguzi wa Mwaka 2020 siyo Huru na Haki.
- Ngome ya Wanawake (ACT wazalendo) Wangeandaa kongamano na Mgeni Rasmi Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Raisi wa Jamhuri ya Muungano SamiaSuluhu.