Majina tajwa si mageni, ni majina ya viongozi wakuu wa CCM. Nikiri kusema kila nikiwaona viongozi hao, Tanzania inaona tumaini la uongozi bora si tu ndani ya CCM bali hata serikalini. Ni moja ya...
TATHMINI YANGU KWA UPINZANI 2015-2020:WAPINZANI MKIPINGA UKWELI MNAFELI,PONGEZENI UTENDAJI KAZI BORA WA RAIS MAGUFULI.
Leo 13:15pm,06/06/2019.
Zitto Kabwe amekiri utendaji kazi bora wa Rais John...
Mwaka jana ukame ulikuwa wa kutisha kanda ya kaskazini nzima. Basi linasimama pale Bombo na ukitazama wauza matunda hali ni mbaya ya kile wanachokiuza. Nakumbuka niliuziwa machungwa ya kuvundikwa...
Amani na umoja wa Watanzania, ni sifa ambayo ilijulikana juu ya Watanzania duniani kote. Kwa miaka mingi sana Tanzania ilikuwa haitajwi na vyombo vya habari kama BBC na CNN kwa kuwa hatukuwa na...
Nadhani hali si shwari kati ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera na wanasiasa wa Mkoa huo. Maneno ya Mwijage ni kama vile anatupa vijembe kwa mkuu huyo wa Mkoa.
Itakumbukwa kwamba wakati akiingia kagera...
Lowassa aliletwa Chadema na TISS wakimtumia Apson na Gwajima bila Mbowe kujua ila baadae alikuja kugundua na hakutaka ajue chochote alifanya hivyo pia kwa Sumaye, Masha& Co. Mbowe baada ya...
Katika uongozi uliopita kila kitu ilikuwa amri na bunge lilikosa kabisa uelekeo wake mana wanachojadili kinaweza kupinduliwa kibabe na asiwepo wa kuhoji.
Ikatengenezwa image kwamba wapinzania ni...
Nimefuatilia kwa makini mikutano yote ya Halmashauri Kuu na Mikutano Mikuu ya vyama vya upinzani particularly CHADEMA na ACT-Wazalendo nikapata funzo kubwa, kuwa za kuambiwa nichanganye na zangu...
Wadau, wengi wanauliza ni kwa nini Rais Magufuli anachukia Upinzani kiasi cha kufanikisha Bunge kugeuka kuwa Halmashauri Kuu ya CCM, NEC.
Ukweli ni kwamba Magufuli si rafiki na watu weupe na...
Wanajamvi amani iwe kwenu, katika kuleta maendeleo ambalo ndio lengo kuu la Mh Rais, ni vyema upande wa pili wamuunge mkono katika utekelezaji wa maamuzi mbalimbali badala ya kuleta mikwamo isiyo...
WABUNGE WA CCM WANAHITAJI KUFANYA TATHIMINI YA KINA KUHUSU 2025.
Na Thadei Ole Mushi.
Wanachokifanya Chadema kwa Sasa ni kutokumshambulia Rais Samia kabisa kwenye Siasa zao badala yake wanadili...
Namshukuru Raisi Samia kwa kutumia akili na maarifa kukuza uchumi wetu bila kuweka mbele hisia binafsi. Hisia binafsi ni pamoja na kuweka ukanda, ukabila na uchama mbele ya Tanzania kwa ujumla...
Askofu Mkuu KKKT Dr Shoo amesema Rais Samia tangu aingie madarakani ameimarisha Sana Demokrasia na hii iko moyoni mwake kabisa
Askofu Shoo amesema Siasa Siyo Uadui hivyo ni vema vyama vya...
Wakuu,
Nimezunguka mikoa mingi hapa tanzania.
Ila linapokuja suala la kuutebelea mkoa wa Morogoro na wilaya zake,
kichwa huwa kinauma kwelikweli.
Aisee,
Huu mkoa ni mkubwa mno,
1. Amini...
Bongo nyoso, yaani hili swala nyuma yake kuna vigogo wanaouza hizo boda boda ndio maana wanakingia kifua kulinda biashara zao. Boda boda ina risk kubwa sana. Serikari isikwepe jambo hapa. Hakuna...
Mbowe ana mengi kifuani mwake na Mdee na wenzake wana mengi sana. Kitendo cha kujifanya wamesusa lakini nyuma ya pazia wanasasambua ruzuku kama kawa ni jambo lililowashtua sana wanaCHADEMA...
Kuna matukio yametoka hivi karibuni kwenye medani yetu ya siasa hapa nchini, matukio ambayo yamevunja sana mioyo ya wafuasi wa Chama Kikuu cha Upinzani, CHADEMA.
Matendo ya chama yanaweza...
Nakumbuka hata ile hoja ya Elimu Bure na Bima ya Afya kwa wote zilikuwa za Dr Slaa wakati akiwa ni Mtendaji mkuu wa Chadema
Hivyo tuangalie hoja za Godbless Lema kwa jicho la tatu Naamini ana...
Najaribu kufikiri kwa kina kuhusu maamuzi haya mawili.
Moja ni uamuzi wa chadema kupokea ruzuku inayotokana na wabunge haramu (covid-19). Tafsiri ya uamuzi huu ni kwamba Sasa chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.