Barua ya ACT Wazalendo kuhusu ruzuku ya CHADEMA ni feki

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
19,039
28,687
Wakuu kumekua na barua inayosambaa ikisemekana inapongeza juhudi za Samia na pia kukosoa Chadema kupokea ruzuku takribani million 800!!

Kwenye kutafuta ukweli wa mambo, ACT wenyewe wamekanusha kuwa barua kuhusu Chadema kuchukua ruzuku ni feki. Hata katika kurasa rasmi za chama hakuna hiyo barua. Vile vile Salim bimanii anayesemakana kuandaa barua hiyo nayo hajaiweka popote kama press release.

Leo kada wao maarufu Petro ndolezi amekanusha kwamba barua hiyo sio ya ACT.

Nachojiuliza inakuaje Jamiiforums waache uzushi utamalaki ilihali Wana platform ya jamii check!! Huu uzembe unazidi kuonyesha weakness za media zetu kwenye kutoa habari za kuaminika.

Screenshot_20230305_121348.jpg
 
View attachment 2537867
Duuuh! Kibaya zaid ikawa furaha mnoo kwa walinda legacy na wazalendo uchwara!!!
 
Sasa mjadala umekua mkubwa mpaka lawama kwa Mbowe... Thread zaidi ya 4 Sasa zinajadili barua feki alafu jamii check wamelala tu. Hii nchi hatuna media personnel serious kabisa.
Na wewe unaamini ilikuwa feki?!!

Hakika Nyaucho kazeeka na Chadema imezeeka duh!
 
Wakuu kumekua na barua inayosambaa ikisemekana inapongeza juhudi za Samia na pia kukosoa Chadema kupokea ruzuku takribani million 800!!

Kwenye kutafuta ukweli wa mambo, ACT wenyewe wamekanusha kuwa barua kuhusu Chadema kuchukua ruzuku ni feki. Hata katika kurasa rasmi za chama hakuna hiyo barua. Vile vile Salim bimanii anayesemakana kuandaa barua hiyo nayo hajaiweka popote kama press release.

Leo kada wao maarufu Petro ndolezi amekanusha kwamba barua hiyo sio ya ACT.

Nachojiuliza inakuaje Jamiiforums waache uzushi utamalaki ilihali Wana platform ya jamii check!! Huu uzembe unazidi kuonyesha weakness za media zetu kwenye kutoa habari za kuaminika.

View attachment 2537867
Ila hapa hawa waliotengeneza hii habari fake wanadhumuni ambalo walitaka kufikisha

Hii ya Ruzuku nahisi ndio lilikuwa lengo lao kuu.
 
Back
Top Bottom