Hivi kwanini Wabunge na Mawaziri wa CCM wenye mbwembwe hutoka Kwenye Majimbo maskini tofauti na wale wa Chadema?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,978
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze Wabunge wenye mbwembwe na majivuno wa CCM wamekuwa wakitokea Kwenye Majimbo maskini sana ambayo baadhi ya Wananchi Wanaishi Kwenye Nyumba za udongo yaani mbavu za mbwa

Hii ni tofauti sana na Wabunge wa Upinzani hasa Chadema na Nccr ambao Wabunge maarufu kama Mchungaji Msigwa, Sugu, Dr Msina, Ndesamburo rip, Mdee, Mnyika, Prof Jay nk wamewahi kuwakilisha Majimbo yenye raia wenye hali nzuri za maisha

Kuna siri gani Kati ya Umaskini na Umaarufu wa Wabunge wa Chama Tawala?

Nawatakia Dominica njema!
 
Hao wabunge uwekwa na dola, mwananchi hana mkono wake, fuatilia!
 
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze Wabunge wenye mbwembwe na majivuno wa CCM wamekuwa wakitokea Kwenye Majimbo maskini sana ambayo baadhi ya Wananchi Wanaishi Kwenye Nyumba za udongo yaani mbavu za mbwa

Hii ni tofauti sana na Wabunge wa Upinzani hasa Chadema na Nccr ambao Wabunge maarufu kama Mchungaji Msigwa, Sugu, Dr Msina, Ndesamburo rip, Mdee, Mnyika, Prof Jay nk wamewahi kuwakilisha Majimbo yenye raia wenye hali nzuri za maisha

Kuna siri gani Kati ya Umaskini na Umaarufu wa Wabunge wa Chama Tawala?

Nawatakia Dominica njema!
maana yake Chadema sio chama cha masikini na ndiyo maana wataendelea kula mweleka kwa sababu masikini ni wengi kulikoni matajiri!
 
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze Wabunge wenye mbwembwe na majivuno wa CCM wamekuwa wakitokea Kwenye Majimbo maskini sana ambayo baadhi ya Wananchi Wanaishi Kwenye Nyumba za udongo yaani mbavu za mbwa

Hii ni tofauti sana na Wabunge wa Upinzani hasa Chadema na Nccr ambao Wabunge maarufu kama Mchungaji Msigwa, Sugu, Dr Msina, Ndesamburo rip, Mdee, Mnyika, Prof Jay nk wamewahi kuwakilisha Majimbo yenye raia wenye hali nzuri za maisha

Kuna siri gani Kati ya Umaskini na Umaarufu wa Wabunge wa Chama Tawala?

Nawatakia Dominica njema!
Bongo hakuna eneo lenye unafuu mzee kila sehemu ni maskini na hakuna ishu

USSR
 
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze Wabunge wenye mbwembwe na majivuno wa CCM wamekuwa wakitokea Kwenye Majimbo maskini sana ambayo baadhi ya Wananchi Wanaishi Kwenye Nyumba za udongo yaani mbavu za mbwa

Hii ni tofauti sana na Wabunge wa Upinzani hasa Chadema na Nccr ambao Wabunge maarufu kama Mchungaji Msigwa, Sugu, Dr Msina, Ndesamburo rip, Mdee, Mnyika, Prof Jay nk wamewahi kuwakilisha Majimbo yenye raia wenye hali nzuri za maisha

Kuna siri gani Kati ya Umaskini na Umaarufu wa Wabunge wa Chama Tawala?

Nawatakia Dominica njema!
Jo unajua kama hata wewe nakuona kama una mbwembwe 😂
 
Kuna walioingia jiijini kwa garimoshi na wengine kwa malori hivyo ni kama ushamba unawasumbua
 
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze Wabunge wenye mbwembwe na majivuno wa CCM wamekuwa wakitokea Kwenye Majimbo maskini sana ambayo baadhi ya Wananchi Wanaishi Kwenye Nyumba za udongo yaani mbavu za mbwa

Hii ni tofauti sana na Wabunge wa Upinzani hasa Chadema na Nccr ambao Wabunge maarufu kama Mchungaji Msigwa, Sugu, Dr Msina, Ndesamburo rip, Mdee, Mnyika, Prof Jay nk wamewahi kuwakilisha Majimbo yenye raia wenye hali nzuri za maisha

Kuna siri gani Kati ya Umaskini na Umaarufu wa Wabunge wa Chama Tawala?

Nawatakia Dominica njema!
Kuja majimbo kibao ambayo imekuwa upinzani na ni maskini vile vile.
Mfano:
Momba, Mikumi, Mlimba, Kigoma Kaskazini, Kaliua, Serengeti nk.
 
Back
Top Bottom