Kwa hakika, na bila mashaka, uongozi wa Rais Samia umeonesha ushupavu. Wakati viongozi waoga huwaogopa wapinzani wao wa kisiasa, Rais Samia, bila woga, anawaweka karibu.
Tangu mfumo wa vyama...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kutumia jukwaa hili kuwashauri wabunge wote wa ccm kuchapa kazi kwa bidii,uzalendo ,uadilifu na kujitolea kwa ajili ya Watanzania,wabunge wa CCM fanyeni kazi kwa...
Kuna kakikundi Ka watu kalijiaminisha kwamba kanaweza kuidhorotesha Kanda ya Kaskazini kiuchumi na kisiasa kama walivyofanya Kanda ya Kati lakini Mungu amewaumbua kwamba wachapa KAZI dawa Yao siyo...
Binadamu husahau mapema sana. Nimekisikiliza kilio cha Msomi Kitwanga na nikagundua ni kinyongo halisi kinachokuwa katika maongezi ya kundi zima lililokuwa nyuma ya hayati JPM miaka ile akiwa...
Ni dhahiri ndani ya CHADEMA watu wanachekeana usoni ila mioyoni mwao watu wanapiga mahesabu ya 2025.
Baada ya uchaguzi wa 2020, Kamati kuu ya chama hicho ilitoa msimamo kuwa hakuna kushiriki...
Hii ni baada ya Polisi kuruhusu Bawacha wakutane kwa dk 30 tu huku polisi nao wakitaka kuwemo ndani ya ukumbi ili kusikia yanayozungumzwa , kabla ya ruhusa hiyo zimepigwa danadana kuanzia polisi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Mh Freeman Mbowe leo 5/3/2023 atahutubia Nchi yake kupitia kwa waandishi wa Habari .
Taarifa iliyosambazwa na Chama chake kwa Umma...
Lazima tuseme ukweli kuwa huyu mama yetu ana mengi moyoni mwake.
Amewakata kilimilimi wabunge wa ccm kina Mtaturu na Kitila na UVCCM wote kuwa upinzani siyo uadui. Naona sasa tutaelewana na wale...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amedhamiria kila...
Mheshimiwa
Wizara yako itambue wanasemina hao wa sayansi kutokea Tabora wanalishwa milo miwili kwa siku yaani asubuhi na mchana pekee, pia wanajitegemea kulala kwa kulipia gesti Hadi Sasa Lakini...
Watanzania tutafute suluhisho na sio kuwa wanafiki. Kipato cha tsh 7,000 kwa siku hakitoshi na ni umasikini. Tunaweza kutofautiana kwenye siasa lakini sio ukweli hili. Badala ya kujidanganya...
Na Bwanku M Bwanku.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema ameacha ujumbe wenye maelekezo manne wakati wa kuhitimisha ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel...
Moja kwa moja kwenye maada, kumekuwa na unafiki mwingi sana enzi na enzi kutoka kwa wanasiasa (ukiondoa enzi za awamu ya kwanza ya Julius), hawa jamaa huwa wanapanda jukwaani na kuandika na...
Kufuatia kilio cha baadhi ya viongozi wa dini kuona kuwa hawawezi tena kusimamia mambo ya kiroho hadi kufikia kumtuma Askofu Gamanywa kuiomba serikali iteue Kamati ya Maadili ya Viongozi wa dini...
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amefanya ziara ya siku saba...
Kaeni tayari kupata habari Njema kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Chadema mh Mbowe
Mbowe ataongea na Waandishi wa habari jijini Arusha na kwa maana hiyo atalihutubia taifa
Kwa masikitiko makubwa niende moja kwa moja.
Watanzania wengi hatuelewi na hatujapata bado ufafanuzi sababu zinazopelekea Vifurushi vya Internet kupanda mara kwa mara tena kwa ghafla miezi...
Kuna kitu hakipo sawa Tanzania na inasababisha sisi Wananchi tuichukie nchi yetu alafu viongozi wanatusisitiza eti tuwe wazalendo.
Ni zaidi ya dakika 50 sasa barabara ya moshi Arusha imefungwa...
Mbunge wa Umoja wa Wazazi Taifa CCM - Mbeya Mhe. Bahati Keneth Ndingo kwa kushirikiana na Haji Manara ambaye alisoma Shule ya Wazazi Chimala Secondary iliyopo Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.