Dkt. Olusegun Obasanjo akutana na Rais Magufuli, Asema kiongozi yeyote wa Afrika anayethubutu kuwazuia mabeberu hawawezi kumpenda

yamindinda

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,581
1,318

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 16 Januari, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Dkt. Olusegun Obasanjo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Baada ya mazungumzo hayo Mhe. Dkt. Obasanjo amempongeza Mhe. Rais Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya katika uongozi wake ikiwemo kupambana na rushwa, kuimarisha utoaji wa elimu, kuimarisha miundombinu, kuongeza nishati ya umeme, kuboresha usafiri wa ardhini na angani na jinsi wadau mbalimbali wa ndani na nje wanavyopaswa kuelewa juhudi zinazofanyika.

Mhe. Dkt. Obasanjo amesema Mhe. Rais Magufuli amedhihirisha kuwa kiongozi imara wa kusimamia mambo muhimu yenye maslahi kwa nchi yake na amebainisha kuwa licha ya kwamba maendeleo ya nchi hayapatikani mara moja lakini kwa muda mfupi Mhe. Rais Magufuli amefanya juhudi kubwa za kuimarisha maeneo ya huduma za kijamii, kukiimarisha chama chake cha siasa (Chama Cha Mapinduzi – CCM) na kwamba ameonesha kuwa anakijua anachokifanya katika maeneo ya uchumi.

“Tusijisahau kwamba ukoloni mamboleo bado upo na mabeberu bado wanaendelea kufanya juhudi za kuhakikisha wanatunyonya, na kiongozi yeyote wa Afrika anayethubutu kuwazui hawezi kuwa rafiki wa hao ambao walikuwa wakinufaika kwa kutunyonya” amesisitiza Mhe. Dkt. Obasanjo.
 
1547644728584.png

JPM is strong no doubt; anaangushwa na yesmen na wasaidizi wake; when you have a strong president like him you need strong advisers which he misses and this lets him down, he can still filter and sort them out to get strong advisers
 
View attachment 996221

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 16 Januari, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Dkt. Olusegun Obasanjo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Baada ya mazungumzo hayo Mhe. Dkt. Obasanjo amempongeza Mhe. Rais Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya katika uongozi wake ikiwemo kupambana na rushwa, kuimarisha utoaji wa elimu, kuimarisha miundombinu, kuongeza nishati ya umeme, kuboresha usafiri wa ardhini na angani na jinsi wadau mbalimbali wa ndani na nje wanavyopaswa kuelewa juhudi zinazofanyika.
Mhe. Dkt. Obasanjo amesema Mhe. Rais Magufuli amedhihirisha kuwa kiongozi imara wa kusimamia mambo muhimu yenye maslahi kwa nchi yake na amebainisha kuwa licha ya kwamba maendeleo ya nchi hayapatikani mara moja lakini kwa muda mfupi Mhe. Rais Magufuli amefanya juhudi kubwa za kuimarisha maeneo ya huduma za kijamii, kukiimarisha chama chake cha siasa (Chama Cha Mapinduzi – CCM) na kwamba ameonesha kuwa anakijua anachokifanya katika maeneo ya uchumi.
“Tusijisahau kwamba ukoloni mamboleo bado upo na mabeberu bado wanaendelea kufanya juhudi za kuhakikisha wanatunyonya, na kiongozi yeyote wa Afrika anayethubutu kuwazui hawezi kuwa rafiki wa hao ambao walikuwa wakinufaika kwa kutunyonya” amesisitiza Mhe. Dkt. Obasanjo.
Nigeria: Obasanjo Is A Civilian Dictator
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Neno moja siku zote huwa na maana mbili. Naweza kusema hilo swala ni sawa na sherehe kubwa alafu ikose pilau. Haitakuwa na mantiki kwa wengi. Sidhani kama tuko pamoja
 
Hao wakina Obasanjo wanansanifu tu Msukuma wa watu. kimsingi katika uga wa kiitwacho kuwadhibiti Mabeberu Magufuli hakuna alichofanya maana Mabeberu ni mnyonyaji yeyote yule wa nguvu kazi ya mwingine au mali halali ya mwingine.
Magufuli mwenyewe ni beberu anawanyonya watumishi wa umma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuona sifa ya u "strong" kwa elimu yangu hii ndogo nliyosoma baadhi ya course za uongozi na utawala.

Mnakashifiwa mnapokeapokea tu maneno.
 
Back
Top Bottom