Utabiri: 2030 Ndio Kifo Rasmi cha CCM

G4rpolitics

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,335
5,184
Wala haina ubishi, kila kitu kipo wazi kwa sasa, CHADEMA nawapongeza kwa hii style mliyokuja nayo, hata kule Kenya, kuitoa KANU wapinzani walishika urafiki nao na kujua siri zao zote.

Hakukuwa na haja ya maandamano, wala kupigana ila mwisho wa siku ilikuwa rahisi kama kumsukuma mlevi, hivyo plan master wa CHADEMA kwa hili Big up.

Nendeni nao hivyo hivyo wameshalegea, 2025 mnawalegezea ili kuwapasua mdogo mdogo, then 2030 tutegemee chama kipya na watu wapyaa! CCM bye bye 2030.
 
Nimecheka kama mtoa mada ndio mashabiki halisi wa Upinzani unasafari ndefu Sana kufika mbali yaani umeongea vice versa Mama Samia ndio anavunja Upinzani wewe uoni Upinzani wanampigia kampeni Mama mpaka wanamwalika Bawacha kuhutubia. Mashabiki wa CCM na CHADEMA kwa kweli hawana utofauti aisee
 
Ni kesho kutwa mkuu

Mtungi wa gesi kg 13 huko Kenya huuzwa kwa Ksh 403 sawa na shilingi za kitanzania 7366
Mtungi wa gesi Kg 14.5 Tanzania huuzwa shilingi za kitanzania Tsh 55,000 sawa na Ksh3012

Tofauti:
Kenya mtungi wa kg 13 ni shilingi za kitanzania Tsh 7316

Tanzania mtungi wa kg 14.5 shilingi za kitanzania Tsh 55,000

Wakuu ingieni huko mjionee...Kenya wanachota gesi baharini?
 
Mzee CCM ya sasahivi ni moto sana watoto wa mjini ni wengi kushinda CCM ya miaka hiyo

Vyama pinzani vinabidi vitengeneze nguvu kubwa sana na hivi G.LEMA anavyowakandamiza wenzake

Watapoteza point nyingi sana jamaa akiendelea hivyo hivyo
 
Mbali sana ni 2025
Mkuu uisome hii:

Mtungi wa gesi kg 13 huko Kenya huuzwa kwa Ksh 403 sawa na shilingi za kitanzania 7366
Mtungi wa gesi Kg 14.5 Tanzania huuzwa shilingi za kitanzania Tsh 55,000 sawa na Ksh3012

Tofauti
Kenya mtungi wa kg 13 ni shilingi za kitanzania Tsh 7316
Tanzania mtungi wa kg 14.5 shilingi za kitanzania Tsh 55,000

Swali:
Kenya wanasomba gesi baharini....?

Ingieni huko tafiti ndogo tu mjionee....
Mshana Jr
 
Andika sana, ila ujue Mtambo wa fitina ni yule Ramathabha Kalime. Yule ndiyo mchawi wa mambo yote, CDM kaeni chonjo. Na hyo njemba Nawaonya tu.
 
Wala haina ubishi, kila kitu kipo wazi kwa sasa, Chadema nawapongeza kwa hii style mliyo kuja nayo, hata kule Kenya, kuitoa KANU wapinzani walishika urafiki nao na kujua siri zao zoote, hakukuwa na haja ya maandamano, wala kupigana ila mwisho wa siku ilikuwa rahisi kama kumsukuma mlevi, hivyo plan master wa CDM kwa hili Big up, nendeni nao hivyo hivyo wameshalegea, 2025 mnawalegezea ili kuwapasua mdogo mdogo, then 2030 tutegemee chama kipya na watu wapyaa! ccm bye bye 2030.
Sii kweli!. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
 
Mkuu uisome hii:

Mtungi wa gesi kg 13 huko Kenya huuzwa kwa Ksh 403 sawa na shilingi za kitanzania 7366
Mtungi wa gesi Kg 14.5 Tanzania huuzwa shilingi za kitanzania Tsh 55,000 sawa na Ksh3012

Tofauti
Kenya mtungi wa kg 13 ni shilingi za kitanzania Tsh 7316
Tanzania mtungi wa kg 14.5 shilingi za kitanzania Tsh 55,000

Swali:
Kenya wanasomba gesi baharini....?

Ingieni huko tafiti ndogo tu mjionee....
Mshana Jr
Hii kitu imeniumiza sana lakini natambua wote tuna majibu yanayofanana ukitoa wale wengine
 
Na Muungano pia mwisho wake ni 2031 haleluyaa...

The end of black colonialism in East Africa

Semeni Amina.
 
Nimecheka kama mtoa mada ndio mashabiki halisi wa Upinzani unasafari ndefu Sana kufika mbali yaani umeongea vice versa Mama Samia ndio anavunja Upinzani wewe uoni Upinzani wanampigia kampeni Mama mpaka wanamwalika Bawacha kuhutubia. Mashabiki wa CCM na CHADEMA kwa kweli hawana utofauti aisee
Uongozi wa Samia utaisha vzr sana mkuu na utakuwa tayari umeujenga upinzani hpo 2030, hiki ndicho kilichoibomoa chama tawala kule Kenya
 
Back
Top Bottom