Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,563
- 217,871
Leo hii saa 8 Mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itatolea uamuzi Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa Chadema dhidi ya waliotimuliwa kwenye chama hicho wanaoongozwa na Halima Mdee , ikiwa kama walistahili kufungua kesi hiyo au la.
Halima Mdee na kikundi chake wamefungua kesi kwenye Mahakama hiyo wakipinga kufutwa uanachama .
=====
Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imeitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wenzake 18 kupinga kuvuliwa uanachama na CHADEMA, ikikubaliana na pingamizi la CHADEMA lililopinga kufunguliwa kwa shauri hilo kinyume cha sheria.
Ni Kesi ya Madai namna 13 ya Mwaka 2022 iliyofunguliwa na Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga CHADEMA kuwavua uanachama kitu kinachopelekea kupoteza Ubunge wao
Pia, soma;
Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi
CHADEMA yaweka Mapingamizi 6 Kesi ya Ubunge wa Halima Mdee na wenzake. Mahakama Kuu kuamua 22/06/2022
Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu
Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea